Diva Thee Bawse aikacha Clouds Media

kwa mujibu wa sheria sasa ili uwe mwana habari unatakiwa uwe na elimu ya uanahabari at leat uwe na diploma na sio ujanjaujanja eti kipaji
 
txt kwani imeishia kwenye form 6?Au umeamua kusimamia hapo tu.
 
ingekuwa n hvyo basi akina Gadna n kipanya wasingekuwapo pale
Hvyo basi we unatushuhudia uongo
 
ingekuwa n hvyo basi akina Gadna n kipanya wasingekuwapo pale
Hvyo basi we unatushuhudia uongo
Gadna na kipanya ni special case..mikataba yao ya kaz tofaut na wengne mkuu...wakat gadna anavuta mshahara wa 6 m.gar kapewa na kodi analipiwa..same to kipanya mkuu
 
Gadna na kipanya ni special case..mikataba yao ya kaz tofaut na wengne mkuu...wakat gadna anavuta mshahara wa 6 m.gar kapewa na kodi analipiwa..same to kipanya mkuu
Umeongelea swala LA kuchokwa has a pale mtu anapokaa mda mrefu kazini sasa hawa wawili wamekaa hapo clouds kwa zaidi ya miaka 10 kwamba wao hawachokwi...?
Rudia vizuri comment zako nazan utanielewa nnachouliza
Habari za kupewa magari na mikataba hata b12 alikuwa na mkataba mzuri tu, na czan kama alikuwa kachuja kwenye nafasi yake ukicompere na Gadna .
 
Ruge kaondoka. Na wengi sana waliokuwa team ruge lazim waondoke pia

Inasemekana eti uongozi mpya umeweka masharti ambayo hao wakongwe wanaona kama watajishushia hadhi yao vile kuongozwa na new talents kwenye vipindi vyao.

Who is next? ๐Ÿ‘‰๐Ÿพ Perfect Crispin (Mnyama Mkali)
 
Mimi naona sababu media zimeongezeka.. huku wateja wanazidi kupungua ... soko limekuwa gumu , faida ndogo . Inabidi posho na marupu rupu ya wafanyakazi zipungue na mwisho wa siku majungu yanaanza kazini..

Wasafi imechukua sana wateja wa matangazo wa media kubwa za zamani... na ujio wa mitandao kama insta na youtube zimesababisha makampuni kufanyia matangazo huko mitandaoni badala ya media kama zamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ