Madame S
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 17,171
- 34,394
kumbe??Clouds wana akil sana...kina diva.dozen na the likes washa expire... Radio inahitaj kizaz kipya ndomana wanawafagia wote wa zaman kuendana na ushindan
Watahama weng tu..utaskia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kumbe??Clouds wana akil sana...kina diva.dozen na the likes washa expire... Radio inahitaj kizaz kipya ndomana wanawafagia wote wa zaman kuendana na ushindan
Watahama weng tu..utaskia
kwa mujibu wa sheria sasa ili uwe mwana habari unatakiwa uwe na elimu ya uanahabari at leat uwe na diploma na sio ujanjaujanja eti kipajiNaona kimtindo unajaribu kuniambia Diva alisomea kuendesha ala za roho huko chuoni alikokuwa. Ila usije kusahau sera kubwa ya Clouds ni kipaji kwanza na sio CV yako inatisha kiasi gani. Ndio maana nimemuuliza mdau anazungumzia usomi gani hasa. Pia kumbuka ugumu ajira unalazimisha watu kufanya kazi nje ya field zao kuliko kufa njaa.
txt kwani imeishia kwenye form 6?Au umeamua kusimamia hapo tu.Ni msomi kwa kiasi chake. Kufeli form 6, haiwezi kuwa sababu ya kumzuia mtu asifanikiwe kimasomo katika hatua nyingine Ndugu. Cha msingi ni kutokata tamaa pale ulipoangukia. Wapo wasomi wazuri tu waliopitia mfumo wa kuunga_unga na malengo yao yakafanikiwa.
Nimezungumzia form 6, maana naona kama kufeli form 6 imekuwa big deal kwako.txt kwani imeishia kwenye form 6?Au umeamua kusimamia hapo tu.
ingekuwa n hvyo basi akina Gadna n kipanya wasingekuwapo paleNa hii ni mojawapo ya mbinu tunakutana nazo sana maofisini, yaan
1. Wenye chao wamekuchoka na hawakutaki ndio hivyo usha expire wanataka ingizo jipya.
2. Kuku chana live wanaona sio labda kwasababu ya reputation yako na legacy uliowajengea plus mazoea na kuheshimiana kutokana na kufanya naobkwaz kwa muda mrefu.
Sasa basi wanakuondoaje waswahili?
Wanaanza kukutengenezea mazingira ya frustration nzito nzito za mara kwa mara ambazo u cant bear, na hiz wanazi channel kwenye utaratibu wa kikazi kabisaa kiasa kwamba huoni mtu personally kasimama on your way against you (mpaka uchimbe sana yan ndio utajua chanzo cha shida zote).
Basi wewe mwenyewe unaona isiwe tabu, acha nitembee zangu.
Unakuja na uamuzi wa kuacha kazi, basi watu wanashtuka kinafki nafki pale but hawakupi chance kusema nenda ufikirie kisha urudi tena tuzungumzee ....hahahahahaha.
Jua tayari.
UNAONA KAMA UME STAND FOR YOUR DECISIONS kumbe umejaa kwa 18 zao.
THEY INFLUENCED, PREDICTED AND EXPECT YOUR MOVE.
chaliiiiiii
Wacha uzito,imeeleza toka kufeli mpaka now alipo.Wenge la nini joh?Nimezungumzia form 6, maana naona kama kufeli form 6 imekuwa big deal kwako.
Ana taaluma ya Mass com or related huyu? Mbona anavyovifanya haviendani!!
Anakaribia Kumaliza Bachelor Degree yake ya Mass Com ambapo 'kabobea' katika Public Relations and Advertising Chuo Kikuu Huria ( OUT ) Mkuu.
Kumbe amesoma OPEN university [emoji23][emoji23][emoji23]
Sawa asante kwa taarifa!
Huyo dogo mpumbavu..ndomana wanasema kabla hujalivagaa uliza..sasa kaenda kwa mtu ambae alishajiungulia kitambooo...Wapo, vijana kama Heri Muziki!
Gadna na kipanya ni special case..mikataba yao ya kaz tofaut na wengne mkuu...wakat gadna anavuta mshahara wa 6 m.gar kapewa na kodi analipiwa..same to kipanya mkuuingekuwa n hvyo basi akina Gadna n kipanya wasingekuwapo pale
Hvyo basi we unatushuhudia uongo
Wewe Ni Nani hapo clouds?Gadna na kipanya ni special case..mikataba yao ya kaz tofaut na wengne mkuu...wakat gadna anavuta mshahara wa 6 m.gar kapewa na kodi analipiwa..same to kipanya mkuu
Kama watangazaji hebu tujuze hapaClouds kutakua na shida kidogo...kwa sasa watangazaji wengi bongo wanapenda kufanya kazi na wasafi fm
Anaenda EFM
Umeongelea swala LA kuchokwa has a pale mtu anapokaa mda mrefu kazini sasa hawa wawili wamekaa hapo clouds kwa zaidi ya miaka 10 kwamba wao hawachokwi...?Gadna na kipanya ni special case..mikataba yao ya kaz tofaut na wengne mkuu...wakat gadna anavuta mshahara wa 6 m.gar kapewa na kodi analipiwa..same to kipanya mkuu
Ruge kaondoka. Na wengi sana waliokuwa team ruge lazim waondoke pia
Inasemekana eti uongozi mpya umeweka masharti ambayo hao wakongwe wanaona kama watajishushia hadhi yao vile kuongozwa na new talents kwenye vipindi vyao.
Who is next? 👉🏾 Perfect Crispin (Mnyama Mkali)
Muziki gani tenaBila shaka maana aliwanyea sana wasafi na other top medias kuwa hawampi support ya muziki wake.
Muziki gani tena