Diva Thee Bawse aikacha Clouds Media

Diva Thee Bawse aikacha Clouds Media

Naona kimtindo unajaribu kuniambia Diva alisomea kuendesha ala za roho huko chuoni alikokuwa. Ila usije kusahau sera kubwa ya Clouds ni kipaji kwanza na sio CV yako inatisha kiasi gani. Ndio maana nimemuuliza mdau anazungumzia usomi gani hasa. Pia kumbuka ugumu ajira unalazimisha watu kufanya kazi nje ya field zao kuliko kufa njaa.
kwa mujibu wa sheria sasa ili uwe mwana habari unatakiwa uwe na elimu ya uanahabari at leat uwe na diploma na sio ujanjaujanja eti kipaji
 
Ni msomi kwa kiasi chake. Kufeli form 6, haiwezi kuwa sababu ya kumzuia mtu asifanikiwe kimasomo katika hatua nyingine Ndugu. Cha msingi ni kutokata tamaa pale ulipoangukia. Wapo wasomi wazuri tu waliopitia mfumo wa kuunga_unga na malengo yao yakafanikiwa.
txt kwani imeishia kwenye form 6?Au umeamua kusimamia hapo tu.
 
Na hii ni mojawapo ya mbinu tunakutana nazo sana maofisini, yaan
1. Wenye chao wamekuchoka na hawakutaki ndio hivyo usha expire wanataka ingizo jipya.
2. Kuku chana live wanaona sio labda kwasababu ya reputation yako na legacy uliowajengea plus mazoea na kuheshimiana kutokana na kufanya naobkwaz kwa muda mrefu.

Sasa basi wanakuondoaje waswahili?

Wanaanza kukutengenezea mazingira ya frustration nzito nzito za mara kwa mara ambazo u cant bear, na hiz wanazi channel kwenye utaratibu wa kikazi kabisaa kiasa kwamba huoni mtu personally kasimama on your way against you (mpaka uchimbe sana yan ndio utajua chanzo cha shida zote).
Basi wewe mwenyewe unaona isiwe tabu, acha nitembee zangu.
Unakuja na uamuzi wa kuacha kazi, basi watu wanashtuka kinafki nafki pale but hawakupi chance kusema nenda ufikirie kisha urudi tena tuzungumzee ....hahahahahaha.

Jua tayari.
UNAONA KAMA UME STAND FOR YOUR DECISIONS kumbe umejaa kwa 18 zao.
THEY INFLUENCED, PREDICTED AND EXPECT YOUR MOVE.
chaliiiiiii
ingekuwa n hvyo basi akina Gadna n kipanya wasingekuwapo pale
Hvyo basi we unatushuhudia uongo
 
ingekuwa n hvyo basi akina Gadna n kipanya wasingekuwapo pale
Hvyo basi we unatushuhudia uongo
Gadna na kipanya ni special case..mikataba yao ya kaz tofaut na wengne mkuu...wakat gadna anavuta mshahara wa 6 m.gar kapewa na kodi analipiwa..same to kipanya mkuu
 
Gadna na kipanya ni special case..mikataba yao ya kaz tofaut na wengne mkuu...wakat gadna anavuta mshahara wa 6 m.gar kapewa na kodi analipiwa..same to kipanya mkuu
Umeongelea swala LA kuchokwa has a pale mtu anapokaa mda mrefu kazini sasa hawa wawili wamekaa hapo clouds kwa zaidi ya miaka 10 kwamba wao hawachokwi...?
Rudia vizuri comment zako nazan utanielewa nnachouliza
Habari za kupewa magari na mikataba hata b12 alikuwa na mkataba mzuri tu, na czan kama alikuwa kachuja kwenye nafasi yake ukicompere na Gadna .
 
Ruge kaondoka. Na wengi sana waliokuwa team ruge lazim waondoke pia

Inasemekana eti uongozi mpya umeweka masharti ambayo hao wakongwe wanaona kama watajishushia hadhi yao vile kuongozwa na new talents kwenye vipindi vyao.

Who is next? 👉🏾 Perfect Crispin (Mnyama Mkali)
 
Inasemekana eti uongozi mpya umeweka masharti ambayo hao wakongwe wanaona kama watajishushia hadhi yao vile kuongozwa na new talents kwenye vipindi vyao.

Who is next? 👉🏾 Perfect Crispin (Mnyama Mkali)

Mimi naona sababu media zimeongezeka.. huku wateja wanazidi kupungua ... soko limekuwa gumu , faida ndogo . Inabidi posho na marupu rupu ya wafanyakazi zipungue na mwisho wa siku majungu yanaanza kazini..

Wasafi imechukua sana wateja wa matangazo wa media kubwa za zamani... na ujio wa mitandao kama insta na youtube zimesababisha makampuni kufanyia matangazo huko mitandaoni badala ya media kama zamani
 
Back
Top Bottom