Diva Thee Bawse aikacha Clouds Media

Diva Thee Bawse aikacha Clouds Media

crankshaft

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2019
Posts
1,427
Reaction score
3,438
Bila kutaja sababu, kupitia ukurasa wake wa instagram diva the bawse ametangaza rasmi kuacha kazi.

Ameandika hivi:

1600353613453.png
 
Watangazaji wasomi ndio wanahitajika zaidi wakati huu, sasa huyu na usomi wake wote na kiingereza chake akikimbia kazi si atazidisha ombwe la upungufu wa wanahabari wasomi?
Samahani, usomi upi hasa!? Ule wa fani husika yaani habari na utangazaji, au usomi tu japo wa fani nyingine kama ualimu, uhandisi na nyinginezo!?
 
Back
Top Bottom