Diva Thee Bawse aikacha Clouds Media

Diva Thee Bawse aikacha Clouds Media

Clouds wana akil sana...kina diva.dozen na the likes washa expire... Radio inahitaj kizaz kipya ndomana wanawafagia wote wa zaman kuendana na ushindan

Watahama weng tu..utaskia
Na hii ni mojawapo ya mbinu tunakutana nazo sana maofisini, yaan
1. Wenye chao wamekuchoka na hawakutaki ndio hivyo usha expire wanataka ingizo jipya.
2. Kuku chana live wanaona sio labda kwasababu ya reputation yako na legacy uliowajengea plus mazoea na kuheshimiana kutokana na kufanya naobkwaz kwa muda mrefu.

Sasa basi wanakuondoaje waswahili?

Wanaanza kukutengenezea mazingira ya frustration nzito nzito za mara kwa mara ambazo u cant bear, na hiz wanazi channel kwenye utaratibu wa kikazi kabisaa kiasa kwamba huoni mtu personally kasimama on your way against you (mpaka uchimbe sana yan ndio utajua chanzo cha shida zote).
Basi wewe mwenyewe unaona isiwe tabu, acha nitembee zangu.
Unakuja na uamuzi wa kuacha kazi, basi watu wanashtuka kinafki nafki pale but hawakupi chance kusema nenda ufikirie kisha urudi tena tuzungumzee ....hahahahahaha.

Jua tayari.
UNAONA KAMA UME STAND FOR YOUR DECISIONS kumbe umejaa kwa 18 zao.
THEY INFLUENCED, PREDICTED AND EXPECT YOUR MOVE.
chaliiiiiii
 
Hakuna mtu anakimbia sehemu salama yenye maslahi mazuri, ukiona watu wanaondoka ujue mambo si shwari tena. Huenda Hayati Ruge alikuwa anawamudu watangazaji, au huenda ni muda tu wa the beginning of the end.
 
Sasa ww ndugu muhandisi sijui na electrical au mechanical engineering yako ukawatangazie Ala za roho wadau si utaboa mzee!! Ahahaha
Naona kimtindo unajaribu kuniambia Diva alisomea kuendesha ala za roho huko chuoni alikokuwa. Ila usije kusahau sera kubwa ya Clouds ni kipaji kwanza na sio CV yako inatisha kiasi gani. Ndio maana nimemuuliza mdau anazungumzia usomi gani hasa. Pia kumbuka ugumu wa ajira unalazimisha watu kufanya kazi nje ya field zao kuliko kufa njaa.
 
Laiti choo kingekua na sehemu ya kuchangia comment ni kweli ningefanya hivyo.
Mkuu ikitokea ukapita kwenye vyoo nina assume wewe ni jinsia ya kiume, halafu ukakuta kwenye mlango wa choo kumeandikwa Wanawake, utaingia ndani ili ukawaambie kuwa siyo choo cha jinsia yako?
Maana hii thread heading yake inamwongelea Diva ila umeifungua kuandika kwamba haikuhusu.
 
Naona kimtindo unajaribu kuniambia Diva alisomea kuendesha ala za roho huko chuoni alikokuwa. Ila usije kusahau sera kubwa ya Clouds ni kipaji kwanza na sio CV yako inatisha kiasi gani. Ndio maana nimemuuliza mdau anazungumzia usomi gani hasa. Pia kumbuka ugumu wa ajira unalazimisha watu kufanya kazi nje ya field zao kuliko kufa njaa.
Ahaahhah.Hamna bana.
Ila kwel ugum wa maisha na uhaba wa ajira unatulazimu watu wengi kufanya mambo mengi tofauti na matarajio.
 
Back
Top Bottom