Diva wajibizana vibaya na Diamond Clouds Fm kwenye kipindi cha XXL


mimi bado nipo nae aisee, popote alipo nipo, naanzaje kumsaliti kwa nyimbo nzuri anazonipa sasa?? yani kwa diamond moyo yangu ti ti ti tiii
 
Hayo matus yote yalisemwa on air clauds??? Kama ndio wap tcra???????????
 
Lakini hii sioni ni mara ya kwanza.Nakumbuka kuna kipindi diva na Daimond walibishana sana kwenye kipindi cha ala za roho,daimond nadhani alikuwa hajui kwamba yuko on air...diva alikuwa anamwambia "Unajifanya wewe play boy sio....?Mondi nae akajibu mbofu Diva akakata simu.Kwakweli skuamini nlichokisikia..ila baada ya pale Diva akarudi hewani akiwa amepanick na kutoa taarifa kwamba wamepigiwa simu kuwa Gari aina ya Coaster limepata ajali na kuuwa wasanii wengi wa 5 stars modern taarab.Kiukweli diva amekuwa akimfata fata dai mda mrefu ila jamaa havutiwi nae.
 
Au Diamond ana kisirani cha ugomvi wa Esma na Diva.
Naona Diva akijikomba sana kwa Kiba akaacha

huyu diva anatafuta dyudyu kwa lazima, manake sometimes nyeupe sometimes nyeusi, kweli hapo kati kuna wakati full kujishauwa na kiba, na visifa visivyokuwa na kucha, kiba hakummind wala nini nikashangaa mara kmya hampost post tena kiba sijui aliona nini, akaanza mara ampost diamond mara amdiss kama si punani inamuwasha ni nini? alafu si uliona alivyokuwa anajibebisha kwa petit,mara maembe ya kunyonya,mara mbona hunijibuu au unaona najipendekeza? hizi si kauli za kulilia penzi hizi??alivyoona ameshtukiwa eti he is not my type.
 
Diva hapendwi na wengi....haya maneno alopewa leo yamewafurahisha wengi sana.
 

Diva ana nyota ya kujikomba.
Nauliza kama dai sio type yake, nani type yake?
 
Diva ana nyota ya kujikomba.
Nauliza kama dai sio type yake, nani type yake?

GK! hapa najaribu kufumba macho alafu navuta picha ya gk eti ndio namuita mpenzi, mbona nahisi kupaliwa, huyu dada diss yake kubwa ni you are not my type, diamond sijui ni mwanaume wangapi ameambiwa hivyo, ukiwatazama hao anaowaambia not her type gk atasubiri sana kwa kila kitu.
 
Mwanamume ambaye anafikiri kupata heshima KWA mwanamke hadi umkaze ni mwenye Iferiority complex syndrome ...anaamini KITENGO Kama hicho Ndio cha kumpa heshima ...mwanamume anayejiheshimu ana options nyingi tu za kupata heshima Kama Elimu ..pesa ..juhudi etc ...KWA SASa diamond anapata heshima lakini kichwani bado Ana hiyo Tabia ambayo inaonekana kabla hajatoka Ndio alikuwa anaitumia hadi imemlemazaa
 

Yaani wewe ndo umeongea point... Big up
 

Sometimes maswali ya kipumbavu yanatakiwa kujibiwa kipumbavu vilevile!Diva amezidi kumshobokea Diamond siku nyingi saaana!halafu hatakiwi sasa bahati mbaya!

Labda uje na lingine ila Diva leo amepewa dawa yake ipasavyo,apumzishe kipapa chake chini kwanza hakina mvuto wala nyama?chefuuu
 

umechanganya desa na wewe!...kama pesa,elimu ni 'options' za kupata heshima.,unaanzaje kutoa 'kukazwa' kwenye huo mlinganyo!
Halafu,jifunze street code ya 'heshima' kama inavyotumika kitaa na heshima yenu ya kwenye vitabu!
Diva akazwe tu ndo atakuwa na heshima!....shobo zimezidi!
 
Veeeere true

 

Nakuunga mkono ni ukwel mtupu hata kama watakupinga kwa sabab za kishabik. wkt mwngne heshma ya mtu inapanda au kushuka kuendana na matamshi yake ktk jamii hasa ukiwa mtu maarufu.
 
tetesi eti diva alikuwa mweusi kuna ukweli jamani?
 

Aisee ww ni le akili kubwazz. Wengi humu wameonesha tu chuki zao kwa diva. Diva anamapungufu mengi but watu walishamdharau ss huyu daimond ameshindwa kuonesha ukomavu wake wa kiume hapo kwangu mimi naona amesound ki foolish age
 

huyu GK mwenyewe yupo mguu nje,maana aliwapa watu time wamuulize maswal ig,bt kila akiulizwa km anatoka na GK hajibu kabisa,nw naona anampromote mauricekirya,sijui ndio anamlia mingle akimuintaviu tuu basi aanze jibebisha hapoo ila ampate mganda wa watu km prezoo! Manangeee she want all the men in east africa,lol
 
Unaonekana huwafahamu sampuli ya wasichana sawa na Diva... issue sio kumkaza ndo kujenga heshima unless kama hufahamu tafsiri ya "you're not my type" inapotoka kwa mtu kama Diva! Umetoa mfano wa heshima inajengwa kwa vitu kama elimu, pesa, juhudi n.k... sasa kwa mtu kama Diva ana nini cha kujivunia kati ya hivyo? Yule leo hii hata akigongwa na msukuma mkokoteni hawezi kumwita "you're not my type" coz' anafahamu kitachofuata hapo ni kuulizwa "una nini cha maana...!" Kwa watu kama Diva unapomuhoji una nini cha maana moja kwa moja anafahamu humaanishi kuhusu elimu yake, utajiri wake n.k lakini anafahamu unamaanisha ana nini cha maana ndani ya pichu yake...!
 

na kwa mamlaka niliyopewa na Street University,nakutunuku shahada ya Udaktari wa Falsafa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…