Mkuu umeniwahi kuipost....inasemekana diva Anamongelea vibaya daimond Instagram, daimond Alikuwa amemwambia diva kuwa kama ningekuwa nimekukaza usingekuwa unaniongelea......majibizano yaliendelea nusu wapigane BDAZIN akazima maic.....habari diyo hiyo.
Mond Akimkaza Diva Diva Anaweza Kurecod Ka Video Ka Hilo Tendo Il Apate Kik Anapenda Xna Kujiweka Juu Kujion Mzur Kumb Hamnazo
Diva yuko sahihi kabisa. Type zake ni akina GK wala unga. Perfectly right.
safi sana diamond. Huyo diva na akazwe tu. Mana hakuna namna tena.
simlaumu,namsifia upeo wake wa akili,kaona mbali sana,kijana ana akili nyingi yule
Sawa... basi na kazi ya kusifia unayo manake itabdi kila wakati ufanye kazi ya kusifia!nilipopenda IQ yake ni pale alipogundua kwamba viongozi wote wa chadema ni wa kabila moja
ana akili sana kijana....kwanza hahitaji hela za watu wa kaskazini anazo za kutoshaSawa... basi na kazi ya kusifia unayo manake itabdi kila wakati ufanye kazi ya kusifia!
Kwahiyo wasiomdiss ni wale aliowakaza?
Kwahiyo wasiomdiss ni wale aliowakaza?
am so wandaz kwakweli
Ndo nahangaika hapa ndugu yangu audio ninayo........tuna upload vipi audio......?!
Hivi huyu dogo diamond ndio kalewa misifa kiasi hiki hadi kuongea kauli nzito on air kwenye radio ya watu...
duuuuuuh hebu sikiliza mwenyewe..........