Diva wajibizana vibaya na Diamond Clouds Fm kwenye kipindi cha XXL

Diva wajibizana vibaya na Diamond Clouds Fm kwenye kipindi cha XXL

Hii shoo kali hii thread itafuatiliwa na wanaJF wengi sana hapo ndo utajua Dangote ni nani kwenye inchi hii. Huyu mtt wa kike mal***ya tu anatafta kick kwanza ilikuwaje awepo kwenye XXL wakati yeye kipindi chake usiku
 
Mkuu umeniwahi kuipost....inasemekana diva Anamongelea vibaya daimond Instagram, daimond Alikuwa amemwambia diva kuwa kama ningekuwa nimekukaza usingekuwa unaniongelea......majibizano yaliendelea nusu wapigane BDAZIN akazima maic.....habari diyo hiyo.

Basi kazi
 
Sawa... basi na kazi ya kusifia unayo manake itabdi kila wakati ufanye kazi ya kusifia!
ana akili sana kijana....kwanza hahitaji hela za watu wa kaskazini anazo za kutosha
 
Kwahiyo wasiomdiss ni wale aliowakaza?

Mondi alimwambia "mbona unaniandika vibaya kana kwamba niwahi kukukaza/nilishawahi kukukaza".

Bi mdada akasema "mimi si type yako nitakupwelepweta bure" .
 
Mimi niseme maneno mawili tu (1): POLE. (2): FANYA YAKO. Maana nilitaka kusema likn yote wamesema kwako DIVA sauti mirorooooo.
 
Hivi huyu dogo diamond ndio kalewa misifa kiasi hiki hadi kuongea kauli nzito on air kwenye radio ya watu...



duuuuuuh hebu sikiliza mwenyewe..........
 
Ndo nahangaika hapa ndugu yangu audio ninayo........tuna upload vipi audio......?!
 
Back
Top Bottom