Diversity Visa 2020 Green Card Lottery Starts Today!

Hivi ukishinda huko USA wanakugharamia kila kitu? Life cost
Unaposhinda hii lottery, inabidi ulipie gharama mwenyewe ila USA wanachofanya ni kukupatia Permanent Residency (Green Card) ambayo inakuwezesha kuishi na kufanya kazi Marekani. Watu wengi wanaoshinda hutafuta ndugu, jamaa au marafiki wanaoishi Marekani ambao wanakuwa kama wanawafadhili mara tu watakapowasili, na baada ya muda kidogo mtu hutafuta kazi na baadae kuhamia nyumbani kwake mwenyewe.
 
Sawa ndugu.nashukuru kwa taarifa
 
Nauli peke ya marekani si inafika hadi 10 m
 
Assuming nimeshinda, watanipa pesa ya kuhamisha familia yangu kwenda huko? Na pia watanipa kazi ya kueleweka wao au mimi ndio nianze tena kusota kuanzisha biashara huko? Fafanua please.., na eleza kwanini niende kwenye nchi yenye high levels of Racial profiling kwa black people?
 
Unashangaa ubaguzi Marekani wakati upo ubaguzi wa Mtanzania kwa Mtanzania tena wenye rangi moja achilia Watanzania Wahindi na Waarabu.
Ubaguzi ni hulka ya mtu na ndio maana wapo wazungu waliooa/ kuolewa na weusi na wanafurahia maisha.
Kama kiongozi Mtanzania anaweza kusimama hadharani akawabagua watu kwasababu za kisiasa kwanini huyo asiitwe mbaguzi namba moja. Ukiitwa black furahia kabisa kwasababu wewe ni black, ukinyimwa kazi kwasababu wewe ni black tafuta nyingine, ukikataliwa mapenzi kwasababu wewe ni black tafuta mwingine.
 
Kwahiyo unatuambia waAfrika waende tena 'Utumwani' kama mababu wa 'black Americans' kisa...? Huku wanabaguliwa kisiasa? Huku wanabaguliwa na wahindi/waarabu ambao ni minority?
 
Anayeona inamfaa aende tena akafurahie alichokitafuta. Na huo sio utumwa ila ni hiari yako, ukifika ukiona hujapendezwa geuza nyumbani utumikie utumwa wako huko ambako hatuupendi utumwa ila tunalazimishwa kuwa watumwa.
Kwahiyo unatuambia waAfrika waende tena 'Utumwani' kama mababu wa 'black Americans' kisa...? Huku wanabaguliwa kisiasa? Huku wanabaguliwa na wahindi/waarabu ambao ni minority?
 
Assuming nimeshinda, watanipa pesa ya kuhamisha familia yangu kwenda huko? Na pia watanipa kazi ya kueleweka wao au mimi ndio nianze tena kusota kuanzisha biashara huko? Fafanua please.., na eleza kwanini niende kwenye nchi yenye high levels of Racial profiling kwa black people?

Kazi haupewi bali unatafuta mwenyewe binafsi, kuna resources nyingi tu za kukuwezesha kupata kazi nzuri kama una elimu. Maisha ni popote lakini uwe tayari kujituma ili kufikia malengo mbalimbali katika maisha.

Kuhusiana na racial profiling, inabidi ujue kila taifa lina matatizo yake mbalimbali, leo hii Tanzania pamoja na kujisifia kwa "amani" lakini watu wanatekwa mchana kweupe na wengine kuuawa.
 
Anayeona inamfaa aende tena akafurahie alichokitafuta. Na huo sio utumwa ila ni hiari yako, ukifika ukiona hujapendezwa geuza nyumbani utumikie utumwa wako huko ambako hatuupendi utumwa ila tunalazimishwa kuwa watumwa.
Majibu ya nyodo na kejeli pasipo na hoja ndani yake ni 'uxhoga', unapozungumza na mwanajukwa mwenzako si vyema kujibu kwa kuzodoa bila hoja ndani yake. Lengo ni kuangalia generally na kwa ujumla wake kama kuna tija ya wasomi tuliosomesha kwa gharama kubwa kwenda kutumikia nchi za wenzetu na kuacha fursa mbalimbali za kulikwamua taifa hapa lilipo, sio tukiona meli inazama tunaanza kuruka na kuikimbia, lazima tuangalia namna ya kuiokoa, hilo ndio la msingi hapa. Nimekupa hoja ya extreme racial bias na profiling huko USA hasa hasa katika utawala huu wa Trump, wewe unajibu eti bora tukatumikishwe na kubaguliwa na wazungu kuliko kubaguliwa kisiasa / na wahindi; sasa kweli hii ni sababu ya kuikimbia Tanzania? Kule Marekani uliza kama kuna watz hata 10 wanaomiliki nyumba kule, na uliza hao watz walipoondoka waliacha nyumba ngapi huku, it doesn't make sense? Utakesha kulipa bills za maji, umeme, rent/mortgage maisha yako yote, bafo upambane na mibaguzi ya rangi, its bullshit, tusiingizane cha kike!
 
Kazi haupewi bali unatafuta mwenyewe binafsi, kuna resources nyingi tu za kukuwezesha kupata kazi nzuri kama una elimu. Maisha ni popote lakini uwe tayari kujituma ili kufikia malengo mbalimbali katika maisha.

Kuhusiana na racial profiling, inabidi ujue kila taifa lina matatizo yake mbalimbali, leo hii Tanzania pamoja na kujisifia kwa "amani" lakini watu wanatekwa mchana kweupe na wengine kuuawa.
Kwahiyo unatuambia watz tujipeleke utumwani USA kama mababu wa 'black American' kisa kuna mshikilia uchumi ametekwa?
 
Back
Top Bottom