Diversity Visa 2020 Green Card Lottery Starts Today!

Upo sahihi na ndio maana nikasema inategemea na eneo, 2016 nilipiga mayfair ya mbezi za visa kwa elfu 5, Mlimani city passport zozote hizo ndio bei zake
Kwa dar picha ni 12K soft copies ila soft na hard ni 18K pale photo point MLIMANI CITY
 
Hapa Tanzania hata pawe pagumu vipi, sijawahi hata kuwaza kwenda nchi nyingine kutafuta uraia, nitakwenda kuangalia tu fursa zaidi za kibiashara ila maisha yangu na uraia wangu ni Tanzania. Humble Africa by Culture
 
Kwahiyo unatuambia waAfrika waende tena 'Utumwani' kama mababu wa 'black Americans' kisa...? Huku wanabaguliwa kisiasa? Huku wanabaguliwa na wahindi/waarabu ambao ni minority?
Sio kila anayeenda amekimbia unyonyaji au manyqnyaso ya nchi zao mkuu.

Wengine ni mipango ya maisha yao, wengine wanataka watoto wao wapale elimu nzuri na huduma mzuri.

Wengine wanaenda sehemu watakayoweza kufanya kazi nzuri zenye ujira mzuri na zitakazo endeleza fani zao.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
1.) Umeshindwa kuelewa nilichozungumza lakini umeweza kunijibu, very intresting.

2.) Sio kwamba nalazimisha, ndivyo ilivyo, nimeweka link ya 'advise show tv', ingia ili uone kama racism against black ni jambo ambalo nalazimisha au kweli lipo huko USA.

3.) Sijasema kila mTanzania anaweza kumiliki Ardhi kiholela, ninachosema ni kwamba, kama umeshindwa kumiliki nyumba/ardhi Tanzania, basi sahau kumiliki nyumba/ Ardhi marekani, na nikakupa mfano kwamba watz wanaomiliki nyumba USA sidhani kama hata 10 wanafika.
Sidhani kama unaijua USA, kuna Watanzania wengi tu wanaomiliki nyumba zao au hata multiple houses. Na kuna wengine wanaishi comfortably kwenye apartment zao.
 
Assuming nimeshinda, watanipa pesa ya kuhamisha familia yangu kwenda huko? Na pia watanipa kazi ya kueleweka wao au mimi ndio nianze tena kusota kuanzisha biashara huko? Fafanua please.., na eleza kwanini niende kwenye nchi yenye high levels of Racial profiling kwa black people?

Hizi ni gharama kama utashinda
350$ vipimo na vaccines pale Premiere care next to best bite, utapimwa hadi ngoma.
Then visa fees 330$
Unatakiwa ufanye police clearance fingerprints Uhamiaji
Then uwe na elimu isiyo chini ya form 4 au uwe una experience ya kazi ya two years ambayo utaweza kuthibitisha.
Halafu uwe na physical address in the states ambayo ur green card wil be mailed after you have paid 165 USCIS fees.
Then you have to buy your own ticket with ur DV status you’re eligible to buy a one way ticket. Then kumbuka kuna interview mimi nimeshaona watu walishinda na wakakosa visa ya green card pale embassy mbele yangu kwa kitu kidogo. Mwisho hulazimishwi kama ni kuna wabaguzi ukishinda unakausha huendi they won’t press you .
 
1.) Umeshindwa kuelewa nilichozungumza lakini umeweza kunijibu, very intresting.

2.) Sio kwamba nalazimisha, ndivyo ilivyo, nimeweka link ya 'advise show tv', ingia ili uone kama racism against black ni jambo ambalo nalazimisha au kweli lipo huko USA.

3.) Sijasema kila mTanzania anaweza kumiliki Ardhi kiholela, ninachosema ni kwamba, kama umeshindwa kumiliki nyumba/ardhi Tanzania, basi sahau kumiliki nyumba/ Ardhi marekani, na nikakupa mfano kwamba watz wanaomiliki nyumba USA sidhani kama hata 10 wanafika.
Ujinga huu, Watanzania ninaowafahamu mimi tu peke yangu wanaomiliki nyumba USA ni zaidi ya watano tena Maryland peke yake, sijui unavyosikia kumiliki nyumba Marekano sijui huwa unawaza nini?

Sasa hushangai Tanzania matajili wenu wengi wa Kihindi ni kwa nini hawana nyumba?

Utashangaa mtu kama wewre baadae upo wasapu unampiga mzinga mbeba box Marekani.
 
Labda unamaanisha vile vitundu vya ndege kwenye ghorofa za Newyork, alichowafanya wahindi Nyerere watathubutu kujenga tena?
Mimi siwezi kujibu hiyo hoja ya kupiga mizinga, na Mungu aniweke juu zaidi nisifike huko.
 
Nina wajua watu kama 10 wana mijengo Maryland na wawili katika hao wamejengesha sio kununua Yaani mtu ana mchoro wake anataka iwe hivi na vile. Tatizo tunasikiliza soga za mtaa[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mortgage slavery
 
Naombeni kufahamishwa vigezo na masharti ya hiyo passport inayohitajika
 
Kwahiyo unatuambia watz tujipeleke utumwani USA kama mababu wa 'black American' kisa kuna mshikilia uchumi ametekwa?
Mkuu hujawa interested kwenda uko ..acha wanaokwenda waende ..dunia ni yetu ruksa kuishi popote ...ubaguzi upo na hautaisha, toka enzi za Yesu watu walibagua na kubaguliwa
 
  • Kicheko
Reactions: SDG
Hizi ni gharama kama utashinda
350$ vipimo na vaccines pale Premiere care next to best bite, utapimwa hadi ngoma.
Then visa fees 330$
Unatakiwa ufanye police clearance fingerprints Uhamiaji
Then uwe na elimu isiyo chini ya form 4 au uwe una experience ya kazi ya two years ambayo utaweza kuthibitisha.
Halafu uwe na physical address in the states ambayo ur green card wil be mailed after you have paid 165 USCIS fees.
Then you have to buy your own ticket with ur DV status you’re eligible to buy a one way ticket. Then kumbuka kuna interview mimi nimeshaona watu walishinda na wakakosa visa ya green card pale embassy mbele yangu kwa kitu kidogo. Mwisho hulazimishwi kama ni kuna wabaguzi ukishinda unakausha huendi they won’t press you .
share with us......kama kitu gani kiliwakwamisha?
 
Back
Top Bottom