Diversity Visa 2020 Green Card Lottery Starts Today!

Diversity Visa 2020 Green Card Lottery Starts Today!

Kujua idadi kamili ya watu wanaoomba huwa ni ngumu maana huwa wanatoa majina ya waliofanikiwa tu, mwaka wangu mimi tulipata watz 39 tu. Ila nchi nyingine kama Ghana, Ethiopia, kenya nk huwa wanachukuliwa wengi sana nazani wao watakuwa na muamko mkubwa wa kuomba hii kitu.
Mkuu nakuja pm unipe maujanja zaidi
 
Je visa lottery inafunguliwa lini mwaka huu 2020?
 
Yeah lakini hua nakua Tanzania mara kwa mara si unajua green card unaingia na kutoka hata mara 1000 mpaka miaka kumi ipite ndio wanaongeza au ukitaka uraia wanakupa uraia.
Poa poa mkuu ..ngoja na sisi tujaribu bahati yetu..
 
Back
Top Bottom