Zeus1
JF-Expert Member
- Aug 24, 2017
- 7,152
- 9,206
Duh!basi ni very cheap if hiyo ndo nauliNauli ya Marekani haifiki 10 mil hata wakati wa high season, na kuna miezi inashuka mpaka $680 roundtrip kutegemea na mji unaokwenda.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh!basi ni very cheap if hiyo ndo nauliNauli ya Marekani haifiki 10 mil hata wakati wa high season, na kuna miezi inashuka mpaka $680 roundtrip kutegemea na mji unaokwenda.
Unaleta nadharia ambazo huziishi kabisa, unaposhupalia ubaguzi wa Marekani na kukataa ubaguzi wa Tanzania nao ni umajinuni, halafu hiyo progaram sio lazima ni hiari yako na hakuna sera yoyote ile ya kuwabagua watu weusi zaidi ya hulka za watu wenyewe kama ilivyo kwa nchi yetu.Majibu ya nyodo na kejeli pasipo na hoja ndani yake ni 'uxhoga', unapozungumza na mwanajukwa mwenzako si vyema kujibu kwa kuzodoa bila hoja ndani yake. Lengo ni kuangalia generally na kwa ujumla wake kama kuna tija ya wasomi tuliosomesha kwa gharama kubwa kwenda kutumikia nchi za wenzetu na kuacha fursa mbalimbali za kulikwamua taifa hapa lilipo, sio tukiona meli inazama tunaanza kuruka na kuikimbia, lazima tuangalia namna ya kuiokoa, hilo ndio la msingi hapa. Nimekupa hoja ya extreme racial bias na profiling huko USA hasa hasa katika utawala huu wa Trump, wewe unajibu eti bora tukatumikishwe na kubaguliwa na wazungu kuliko kubaguliwa kisiasa / na wahindi; sasa kweli hii ni sababu ya kuikimbia Tanzania? Kule Marekani uliza kama kuna watz hata 10 wanaomiliki nyumba kule, na uliza hao watz walipoondoka waliacha nyumba ngapi huku, it doesn't make sense? Utakesha kulipa bills za maji, umeme, rent/mortgage maisha yako yote, bafo upambane na mibaguzi ya rangi, its bullshit, tusiingizane cha kike!
Kwani lilipoletwa hili tangazo la green card visa lottery humu jamvini lengo lilikuwa ni nini? Na kwakuwa tangazo limeletwa jamvini basi wanajamvi hatuwezi kuliacha tu hivi hivi, maana wapo watakaoshawishika, hivyo ni muhimu mjadala ufanyike ili wale watakaoshawishika hata kwenda kwa njia zingine (achilia mbali hiyo lottery) wajue wanaenda wapi. Suala la Tanzania kuwa na ubaguzi sawa na Marekani siwezi kubisha sana, ila sasa kwanini uende sehemu ambayo haina unafuu? Si ningetegemea ukimbie ubaguzi Tanzania ila uende sehemu isiyo na ubaguzi? Hilo suala la kutoweza kumiliki nyumba na ardhi USA na wewe ukaona ni bora kuliko sehemu ambayo unaweza ukamili nyumba na mashamba/ardhi ya kwako mwenyewe limenishtua. Yaani kuishi kama ndege/ ngedere kwenye vi-appartment kama vitundu vya ndege au ngedere mtini wewe unaona ni bora kuliko kumiliki nyumba na ardhi ya kwako, nina wasiwasi na afya yako ya akili.Unaleta nadharia ambazo huziishi kabisa, unaposhupalia ubaguzi wa Marekani na kukataa ubaguzi wa Tanzania nao ni umajinuni, halafu hiyo progaram sio lazima ni hiari yako na hakuna sera yoyote ile ya kuwabagua watu weusi zaidi ya hulka za watu wenyewe kama ilivyo kwa nchi yetu.
Kuhusu sijui kumiliki nyumba US naamini huijui sera yao ya umiliki wa nyumba, unachojua wewe ni sawa na hapa kwetu kila mtu amaweza kumiliki vibanda atakavyo na akajenga atakavyo. Maisha mazuri ni zaid ya kumiliki nyumba yako mwenyewe kwenye ardhi yako. Kwa wenzetu serikali imewekeza kwenye ujenzi wa makazi ya watu na kuna utaratibu wa kumiliki hayo makazi tofauti na kwetu hata watumishi tu hawana makazi ya kauminika.
Ukitaka kwenda huko nenda na hayo unayoyaona na kuyasikia kuhusu ubaguzi yanabaki kuwa hulka za watu na si vinginevyo.
Nimeshindwa hata kuelewa unazungumzia nini na bahati mbaya hujui hata unachozungumza, hayo unayoyasema yamekuja baada ya kuhoji wapi ni bora.Kwani lilipoletwa hili tangazo la green card visa lottery humu jamvini lengo lilikuwa ni nini? Na kwakuwa tangazo limeletwa jamvini basi wanajamvi hatuwezi kuliacha tu hivi hivi, maana wapo watakaoshawishika, hivyo ni muhimu mjadala ufanyike ili wale watakaoshawishika hata kwenda kwa njia zingine (achilia mbali hiyo lottery) wajue wanaenda wapi. Suala la Tanzania kuwa na ubaguzi sawa na Marekani siwezi kubisha sana, ila sasa kwanini uende sehemu ambayo haina unafuu? Si ningetegemea ukimbie ubaguzi Tanzania ila uende sehemu isiyo na ubaguzi? Hilo suala la kutoweza kumiliki nyumba na ardhi USA na wewe ukaona ni bora kuliko sehemu ambayo unaweza ukamili nyumba na mashamba/ardhi ya kwako mwenyewe limenishtua. Yaani kuishi kama ndege/ ngedere kwenye vi-appartment kama vitundu vya ndege au ngedere mtini wewe unaona ni bora kuliko kumiliki nyumba na ardhi ya kwako, nina wasiwasi na afya yako ya akili.
1.) Umeshindwa kuelewa nilichozungumza lakini umeweza kunijibu, very intresting.Nimeshindwa hata kuelewa unazungumzia nini na bahati mbaya hujui hata unachozungumza, hayo unayoyasema yamekuja baada ya kuhoji wapi ni bora.
Wapi tumesema kila mtu anaweza kupendezewa na maisha ya huko? Tangu mwanzo nimesema anayeona inamfaa kwenda akipata aende kwa kuzingatia vigezo, kwako wewe unataka kutulazimisha kuwa Marekani kuna ubaguzi sana kuliko kwetu na ndio nakupa ninachokiamini kuwa kwako wewe bora kuishi Tanzania wengine hawaoni huo ubora unaotaka tuone.
Kuhusu kumiliki ardhi, nani kakuambia kila mtanzania anaweza kumiliki ardhi kiholela, sasa huo ubora unaozungumzia ni upi hapo?
Jitahidi kuelewa wewe, sio kila mtu anafaidi hapa, wapo watu wamebaguliwa kwenye nchi hii na wakaenda huko wakafurahia.
Narudia tena, ubaguzi ni hulka ya mtu popote anaweza kuufanya hata akiwa hapa.
Watakaoona inawafaa waende maadam hawalazimishwi na hawafungwi wakotaka kurejea walikotokea.
1.) Umeshindwa kuelewa nilichozungumza lakini umeweza kunijibu, very intresting.
2.) Sio kwamba nalazimisha, ndivyo ilivyo, nimeweka link ya 'advise show tv', ingia ili uone kama racism against black ni jambo ambalo nalazimisha au kweli lipo huko USA.
3.) Sijasema kila mTanzania anaweza kumiliki Ardhi kiholela, ninachosema ni kwamba, kama umeshindwa kumiliki nyumba/ardhi Tanzania, basi sahau kumiliki nyumba/ Ardhi marekani, na nikakupa mfano kwamba watz wanaomiliki nyumba USA sidhani kama hata 10 wanafika.
Achana nae huyo jamaa !! wapo watu wengi tu wanatafuta chance ya kwenda kwa Trump haya mambo ya Ubaguzi yapo kila mahali, Nenda India, china, sehemu nyingi Tu!! Sio binadamu wote wanaweza onesha ubaguzi..kuna wazungu sio wabaguzi kabisa na wanachukia ubaguzi na kuna wengine wabaguzi!! Tena sijui watanzania tuna shida gani mtu anapoleta opportunities tunaanza kuangalia dark side Nenda USA nenda UK the Nigerians wamejaa tele wanafanya life na wanasaidiana kutoboa.Kutokuleweka hakumzuii mtu kuyabaini mawazo yako kutokana na mazingira ya mjadala.
Hoja yako ya pili unajaribu kuilewa mwenyewe tu na haupo tayari kusikia tofauti na unachokiita ushahidi. Halafu kuna mtu amekataa kuwa US hakuna ubaguzi? Hoja hapa ni ubaguzi kutokana na hulka na sio sera ya taifa husika na kama lipo mioyoni mwao hilo libaki huko kwetu sisi sera kwanza hulka baadae.
Hapohapo ndio tukakwambia hicho unachokiona kipo hata hapa kwetu kipo na tena kwa sisi wenyewe achilia mbali rangi tofauti tatizo ulitaka kukiona kwenye Tv show. Na hapa hatuzungumzii ubaguzi wa fursa kwa US tunazungumzia maumbile ambayo kwangu mimi tangu mwanzo nishasema ukiniita black kwa sabababu mimi ni black nitakuona wewe mpuuzi na nitaendelea kufanya yaliyonipeleka.
Mwisho tukasema kama ikionekana inamfaa mtu kwenda kwa ajili ya hiyo fursa aende swala la ubaguzi lipo kila sehemu inategemea na mtu analichukuliaje.
Vp mdau? Unaweza taja vitu muhimu vinavyohitajika kwenye ujazaji wa fomu?Jaribu kucheza inaweza kuwa bahati yako ukapata, kuna waliopata wengi sana. Tanzania wanaoshiriki hii lottery ni wachache sana ukilinganisha na nchi jirani kama Kenya.
Achana nae huyo jamaa !! wapo watu wengi tu wanatafuta chance ya kwenda kwa Trump haya mambo ya Ubaguzi yapo kila mahali, Nenda India, china, sehemu nyingi Tu!! Sio binadamu wote wanaweza onesha ubaguzi..kuna wazungu sio wabaguzi kabisa na wanachukia ubaguzi na kuna wengine wabaguzi!! Tena sijui watanzania tuna shida gani mtu anapoleta opportunities tunaanza kuangalia dark side Nenda USA nenda UK the Nigerians wamejaa tele wanafanya life na wanasaidiana kutoboa.
Aisee, kumbe hii ni kwa watu ambao wapo wapo tu na hawana kazi maalum, kwa fursa zilizopo Tanzania halafu upo upo tu? Kwahiyo US ndio wanataka mizigo? Hii comment usiijibu kwanza, ngoja nikujibu ile comment yako ya juu ndio utanijibu hii, subiri kwanza usijibu hii.Ndio maana nikasema mtu akipata hiyo fursa hana kazi yoyote maalum hapa kwetu basi aende bila kuhofia ubaguzi wa rangi, yaani maadam fursa yenyewe haijaweka kipengele cha ubaguzi basi mtu asiogope kuitumia hii fursa, wapo wengi wamenufaika na wachache wamepoteza.
Mwanaume mzima unaogopa kuitwa mweusi au kukataliwa kuwa na mahusiano yoyote na weupe?
Goodluck MkuuLet me try my luck.....may all mighty God be with me
Nenda mlimani city au mayfair ukiwaambia passport za green card(wanaita hivyo) watakupatia, nenda na flash yako kabisa.Hizo picha (passport size) wanazohitaji zina masharti mengi mno.
Ni wapi kwa hapa Dar naweza piga picha ya namna wanayohitaji hawa watu?
Gharama yake?Nenda mlimani city au mayfair ukiwaambia passport za green card(wanaita hivyo) watakupatia, nenda na flash yako kabisa.
Yeah siku hizi kuna competition kubwa sana kati ya mashirika ya ndege na ndio maana nauli imeshuka sana wakati wa low season.Duh!basi ni very cheap if hiyo ndo nauli
Ukifungua ile link utaona kuna form ambayo ina maswali yote ya kujaza. Wanachotaka zaidi ni information zako, umezaliwa lini, unakaa wapi, elimu yako, kazi unayofanya/shule na kama umeoa na una watoto. Kama umeoa, basi mke wako na watoto wako nao inabidi uwajumuishe kwenye registration form zako. Na pia mke wako nae anaweza kucheza na kukujumuisha wewe, kwa hiyo unajikuta una two entries kwenye lottery. Unaposhinda wewe basi mkeo na watoto wako (less than 18yrs) nao wanakuwa wameshinda, na akishinda mke wako basi na wewe unakuwa kama umeshinda. Hii kitu ni bure kabisa hakikisha tu una picha zenye vipimo sahihi, nenda kwenye studio na waambie unataka picha za greencard au visa ya Marekani na watajua.Vp mdau? Unaweza taja vitu muhimu vinavyohitajika kwenye ujazaji wa fomu?
Mkuu inategemea wanapiga kwa bei gani, ni passport za kawaida tu hazina cha ziada sana kwahiyo kama passport wanapiga elfu 5 basi watakucharge hivyo.Gharama yake?
Hizi zama si za kudanganyana.Nauli peke ya marekani si inafika hadi 10 m
Kwa dar picha ni 12K soft copies ila soft na hard ni 18K pale photo point MLIMANI CITYMkuu inategemea wanapiga kwa bei gani, ni passport za kawaida tu hazina cha ziada sana kwahiyo kama passport wanapiga elfu 5 basi watakucharge hivyo.