Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 21,593
- 46,759
Mkuu zamani nilikua najifariji kama wewe ila ukweli ni huo.Kwamba wanawake wanazaa na wanaume waliowapenda tu? Kwamba hakuna "mistakes" zinazoweza pelekea mwanamke akajikuta na mimba au hata kuzaa na mtu asiye na mapenzi naye ya dhati? Hivi unajua kwamba mahusiano mengi ya kingono yanayosababisha mimba huwa hayajatokana na kupendana kiukweli? Vyanzo mojawapo huwa ni kudanganyana, utoto, mkumbo, tamaa, ujinga etc. Hebu kuwa serious mkuu.
Ukichanganua unaelewa tu ni wapi alirisk mpaka akakubali kuzaa mkuu.Ahaa nilidhani ni vinginevyo, sasa mbona wanaodai Yule aliyezaaaye Tu mwanzo ndiye anapendwa
Mimi daima ntawateyetea singo mazas kuwa ni wanawake wakomavu kwelikweli.Ama kuhusu kwanini kunakuwepo na singo mazas,majibu ni haya:Single mother wote wakiingia kwenye mahusiano mapya huwa hawawaongelei vizuri wazazi wenzao. Hauwezi kusikia anasema "baba mtoto yupo anampenda na kumjali sana mwanae" . Mara zote utasikia "hata sijui yupo wapi. Atajua mwenyewe na maisha yake"
Do you think that's coincidence? no, it's a manipulative plan. Mpango ni kuwachonganisha boyfriend mpya na baba mzazi. Boyfriend wa sasa akishamuona baba mzazi ni adui na hatimizi wajibu wake atajaribu kustep up kuziba hiyo nafasi
Sasa hapa kuna masimp huwa wanakamatwa mpaka kufikia hatua ya kujiona wao ndio wanastahili haki ya baba wa mtoto.
Wakati huo single mother yeye anakaa pembeni kuangalia hiyo vita yenu. Maana yoyote atakaeibuka mshindi ni ushindi wake pia. Nyie fanyeni vita vyenu upande utakaoibuka mshindi ndie upande ambao singo mither atauchagua. She is not loyal to your efforts, commitment and sacrifices. Her loyalty crave toward survival and interests of herself and her kid
Embu niambie katika kutaka kuchukua haki ya baba mzazi ukajitolea kumlipia ada mtoto. Baba mzazi akaja akataka kumpeleka mtoto wake kwenye shule ya gharama zaidi. Unafikiri single mother ataheshimu sacrifices zako wewe ambae upo kila siku na kuikataa ile ofa ya baba mtoto? Jibu ni hapana, atachagua mtoto wake asome shule ya gharama zaidi.
Single mother ni kiwanja chenye mgogoro kamwe usijiingize kwenye huo ugomvi wala kutaka kujenga kwenye hicho kiwanja.
Her babydaddy is not a villain, he is just an innocent man who discovered her dark side you're yet to discover.
Donβt be a simp
Mimba sio malaria kusema itakuja kwa kushtukizaMkuu zamani nilikua najifariji kama wewe ila ukweli ni huo.
Miaka ya sasa mwanamke anajua vyrma akisex lini anapata mimba, anaelewa akisex afanye nini asipate mimba, njia za kuzuia na kutoa mimba ni bora kabisa.
Jitu la miaka 20+ ati kapata mimba bahati mbaya!!
Inakuja kutokana na nyegeMimba sio malaria kusema itakuja kwa kushtukiza
Jamaa bila shaka amemuani singo maza hivyo anamtetea.Mimba sio malaria kusema itakuja kwa kushtukiza
Hapana, swali zuri ni "kwanini wewe unawatetea masingle mother na kuwakingia kifua kwa faida gani?Uyoh single mother alkufany nn ?
Ni vile hujamuona tu huyo single mother, watoto wake wanatia huruma kweli.Hapana, swali zuri ni "kwanini wewe unawatetea masingle mother na kuwakingia kifua kwa faida gani?
Hata ukiwa na upwiru busu hapati si ndio?Mm nikishajua ww n singo maza hata salamu skup
Jibu ni simple sana single father hawa exist in real life kwasababu kitendo cha mwanaume kutengana au kumpoteza mwanamke wake then akabakia na mtoto au watoto then huwa hana option ya kuishi pekee yake na watoto huwa anatafuta mwanamke wanaanzisha familia upya.Why you guys, you never talk about SINGLE FATHERS⦠why
Kwanin? Tunawaonea sana hawa singo mazas na ukuti hata siku moja tukidiscus kuhusu singo fazas why
Mfumo dume haujawahi wala hautawahi kuwa tatizo kwa mwanamke, mwanaume na jamii kwa ujumla.Mifumo dume.. makosa mengi sana anapigwa nayo singo maza
athematically and scientifically, what we call a coincidence is usually just the law of truly large numbers at work. In a world with billions of people and infinite daily interactions, incredibly rare events become statistical certainty. Our brains are naturally wired for pattern recognition (apophenia) and confirmation bias. We vividly remember the one time we thought of an old friend and they text us, but we entirely forget the thousands of times we thought of someone and absolutely nothing happened.Single mother wote wakiingia kwenye mahusiano mapya huwa hawawaongelei vizuri wazazi wenzao. Hauwezi kusikia anasema "baba mtoto yupo anampenda na kumjali sana mwanae" . Mara zote utasikia "hata sijui yupo wapi. Atajua mwenyewe na maisha yake"
Do you think that's coincidence? no, it's a manipulative plan. Mpango ni kuwachonganisha boyfriend mpya na baba mzazi. Boyfriend wa sasa akishamuona baba mzazi ni adui na hatimizi wajibu wake atajaribu kustep up kuziba hiyo nafasi
Sasa hapa kuna masimp huwa wanakamatwa mpaka kufikia hatua ya kujiona wao ndio wanastahili haki ya baba wa mtoto.
Wakati huo single mother yeye anakaa pembeni kuangalia hiyo vita yenu. Maana yoyote atakaeibuka mshindi ni ushindi wake pia. Nyie fanyeni vita vyenu upande utakaoibuka mshindi ndie upande ambao singo mither atauchagua. She is not loyal to your efforts, commitment and sacrifices. Her loyalty crave toward survival and interests of herself and her kid
Embu niambie katika kutaka kuchukua haki ya baba mzazi ukajitolea kumlipia ada mtoto. Baba mzazi akaja akataka kumpeleka mtoto wake kwenye shule ya gharama zaidi. Unafikiri single mother ataheshimu sacrifices zako wewe ambae upo kila siku na kuikataa ile ofa ya baba mtoto? Jibu ni hapana, atachagua mtoto wake asome shule ya gharama zaidi.
Single mother ni kiwanja chenye mgogoro kamwe usijiingize kwenye huo ugomvi wala kutaka kujenga kwenye hicho kiwanja.
Her babydaddy is not a villain, he is just an innocent man who discovered her dark side you're yet to discover.
Donβt be a simp
Mbona dada leo umeamkia nyuzi za single motherathematically and scientifically, what we call a coincidence is usually just the law of truly large numbers at work. In a world with billions of people and infinite daily interactions, incredibly rare events become statistical certainty. Our brains are naturally wired for pattern recognition (apophenia) and confirmation bias. We vividly remember the one time we thought of an old friend and they text us, but we entirely forget the thousands of times we thought of someone and absolutely nothing happened.
singo mothers mnawaonea sanaSingle mother wote wakiingia kwenye mahusiano mapya huwa hawawaongelei vizuri wazazi wenzao. Hauwezi kusikia anasema "baba mtoto yupo anampenda na kumjali sana mwanae" . Mara zote utasikia "hata sijui yupo wapi. Atajua mwenyewe na maisha yake"