Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 47,397
- 101,204
Hahahaha,🙌Tulia, ujana wako ulikula na nani uzee umalize na sisi 😂
Hahahaha,🙌Tulia, ujana wako ulikula na nani uzee umalize na sisi 😂
Unakosea kitu kimoja tu na hii inaonesha bado hujaoa, ndoa sio kufanyiwa kazi na mwanamke, ndoa kwa mwanaume ni kupata utulivu na kuanzisha kizazi chake, tafuteni wazee waulizeni maana ya ndoa, kama mwanamke hakupi utulivu wa akili na mwili hata morali ya kujituma itapungua, ukija kuoa hata ndugu zako watakuja kwako kukutembelea ukiwa bachela hawaji, hiyo ni kazi ya mwanamke, usiwaze kupikiwa na kuoshewa vyombo hizo sio sababu zilizomfanya aolewe.Hapa ndio mnapofeli.
Kwanza kabisa ni asilimia ndogo ya wanawake ambao wanaweza kuwa tayari kuolewa na mwanaume ambaye current status ya uchumi wake haumuoneshi kuwa na progress katika siku za usoni.
Yani kiufupi ni kwamba ni asilimia ndogo au tuseme hakuna kabisa mwanamke ambaye atataka kuanza ku settle na mwanaume from zero.
Wengi wanapima, unakuta jamaa ana kazi yake ambayo ni rahisi kufanya tathmini ya miaka kadhaa kujua atakuwa ame achieve kitu gani, ndio hapo wanaingia.
Kwasababu tukianza kupima uhalisia wa mambo tunaweza kuona hata hizo kazi ambazo mwanamke anadai kuzifanya na kuona anastahili 50/50 tutaona kuna sehemu mwanaume ananyongwa.
Unakuta sometimes mwanaume anamuweka na mdada wa kazi ambaye kazi asilimia 90 anafanya yeye na mshahara wake ulo chini ya mwaume wako.
Je bado unaona una haki ya ku demand 50/50 hata kwenye kazi ambazo nyingi huzifanyi wewe?
Hii ndio sehemu ambayo nawaonaga feminist ni watu wenye ukatili dhidi ya mwaume.
Karibu sana Ijumaa flani amazing maeneo ya Mbweni ya Unguja sio ya Dar, tule biriyani ya ndoa ya singo mama🥳🥳🥳Naomba mama nami nijumuike kwenye hiyo harusi nikupe kampani usile biriyani pekee yako
Ukipata Binti BIKRA niunganishe ili nioe chapKaribu sana Ijumaa flani amazing maeneo ya Mbweni ya Unguja sio ya Dar, tule biriyani ya ndoa ya singo mama🥳🥳🥳
Wanajua vizuri tu ila wanajitoa ufahamu, yaani wamechagua kundi moja dogo ndio watolee mahasira yao ya maisha, angalia wakitoka kwa singo mama wanaingia kwenye ushoga yaani hayo makundi mawili ndio yanawakosesha usingizi wakiangalia wanafuraha kuliko wao,😂😂😂Mie mwenzenu bado sielewii, unajua huku mtaani wanao olewa ni hawa singo mamaz.
Kuna jamaa ni Mwalimu, Kamuaacha binti mdogo asiyezaa, na kamuoa Dada mwenye mtoto m1 na ndoa, tena siku ya send off mie nilikuwepo, ni last month hapo tu.
Sasa nashangaa hizi kelele za hapa JF watu hawazioni? Au walioko JF ni dunia nyingine tofauti na uraiani.
Nakiri wazi ndoa nyingi nazoshuhudia, ni lazima iwe ni singo mama.
Hela unayo au unataka kupiga kelele tu hapa, unaijua mahari ya binti bikra lakini?Ukipata Binti BIKRA niunganishe ili nioe chap
Pesa kiasi gani kinahitajika?Hela unayo au unataka kupiga kelele tu hapa, unaijua mahari ya binti bikra lakini?
Kilopolopo ni mtu wa aina gani?wewe unajua unataka nini kilopolopo?
Hela unayo au unataka kupiga kelele tu hapa, unaijua mahari ya binti bikra lakini?
Tulia acha uchonganishi!Kilopolopo ni mtu wa aina gani?
Nakupenda wewe na hiyo tabia yako.Tulia acha uchonganishi!
Tabia ipi?Nakupenda wewe na hiyo tabia yako.
Tabia ya ku trollTabia ipi?
Nime troll kwa nani?Tabia ya ku troll
KwanguNime troll kwa nani?
Basi kuanzia leo no mazoeaKwangu
Utabebika kwa nani?Basi kuanzia leo no mazoea
Kwa bebi akeUtabebika kwa nani?
Asante mama 🙏 ila ni mbali hukoKaribu sana Ijumaa flani amazing maeneo ya Mbweni ya Unguja sio ya Dar, tule biriyani ya ndoa ya singo mama🥳🥳🥳
Ni Mwanamke mwenye mtoto (Mama) anayeishi peke yake bila Mume, so hata kama amefiwa na Mume...ni Mjane ambaye ni single pia....Kwa tafsiri sahihi, single mother ni yupi?