Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 14,421
- 40,936
- Thread starter
- #221
Mimi ni muumini wa ruthless methods katika kusuluhisha tatizo. Jamii ikiwa aggresive kwa single mothers, mabinti wadogo wafajifunza na kuepuka njia za waliowatangulia. In the long run itasaidia kumaliza hii epidemic of single mother and fatherless kids mtaani.Sawa mkuu, ila mnawaandama sana utafikiri walizaliswa na vibrator
Lakini single mothers wakiendelea kuimbiwa mapambio ya ushujaa na kupewa victim status basi hiyo epidemic itaendelea kujirudia kwa miongo mingi mbele, kwa sababu hawa mabinti watajua hata wakifanya maamuzi mabovu jamii itawalinda na kuwapa sifa ya ushujaa. Hili tatizo liishe lazima kuna kundi litolewe kafara