DIVIDE AND RULE: Mbinu ya kimedani inayotumiwa na single mothers

DIVIDE AND RULE: Mbinu ya kimedani inayotumiwa na single mothers

Kila siku wanaume na makende yenu busy discussing single mothers,kama hujazaa naye au huna mahusiano naye unasumbuka nini, wengi wenu mtakuwa na akili za kijima and very abusive,acheni upumbavu
 
Tuachane Na hayo mkuu, ila n yale yale ya siku zote ya single mother, Hua kama vile n tabia zao wote n moja
Tabia za wanawake mara nyingi zinafanana. Chukua kundi lolote mfano single mothers, divorcee women, 30+ year old women, career women, broke women n.k halafu wafanyie tafiti ya patterns za tabia zao utaona wengi wao wanafanana
 
Back
Top Bottom