DIVIDE AND RULE: Mbinu ya kimedani inayotumiwa na single mothers

Ndio maana mimi huwa nawshangaa hizi habari zao za kujilisha faraja mitandaoni kumbe wanateseka kisaikolojia! Wanaolewa sana haohao mnaowaita singo mazaz tuwafahamishe tu!
Yaan jana tu nimetoka kula biriyani kwenye ndoa ya single maza ana watoto wawili, wiki ijayo nina mualiko mwengine kwenye ndoa ya single mama ana mtoto mmoja, hizi kelele zipo jamii forum tu mtandao unaongoza kwa wasomi wasio na ajira basi wana makasiriko kama wana vijipu uchungu vya kwapa.
 
Mm napenda mahusiano na SM sbb mara nyingi amepitia changamoto mbalimbali za maisha na anaweza kuwa na mtazamo wa ukomavu katika mahusiano.
Na hii sababu ndio inayowafanya waolewe sana, nimefanya tafiti isiyo rasmi nimegundua wanaume wengi hua wanapenda utulivu kwa mwanamke ambaye ameshamaliza dhoruba zote, maisha yashamnyoosha akipata mwenza (mstiri wanasema) basi anashikilia ipasavyo hakuna kesi kwa wazazi wala wazee wa dini
 
Toa pendekezo lako, acha kuzunguka mbuyu. Tuseme single mothers hawana kipengere. Huyo alietaji mchango wako ni mdogo au mtoto wako. Yeye hana mtoto anataka kuoa single mother. Mpe ushauri kama dada au mama
Nizunguke nini sasa, kama wamependana mimi ni nani niweke pingamizi kwa ajili ya watoto? Seriously! watoto ambao utaishi nao muda mfupi tu wakishamaliza masomo kila mmoja anaenda zake kujitegemea yaani watoto kiwe kikwazo cha wewe kua na mwenza wako hiyo ni roho ya kimaskini sana, sikia nikwambie katika haya maisha acha kabisa kubagua watoto atakayekuja kukufaa uzeeni hutomjua, kizazi chako kinaweza kukusaliti ukaja kustiriwa na watoto wa wenzio, acha kabisa roho mbaya kwa watoto, yaani dah nakuhurumia sana kwa hiyo mentality yako, kumbe shida ni watoto!!! una safari ndefu sana. ptuuh
 
Yaan jana tu nimetoka kula biriyani kwenye ndoa ya single maza ana watoto wawili, wiki ijayo nina mualiko mwengine kwenye ndoa ya single mama ana mtoto mmoja, hizi kelele zipo jamii forum tu mtandao unaongoza kwa wasomi wasio na ajira basi wana makasiriko kama wana vijipu uchungu vya kwapa.
Acha watoe sumu, mtu kama una furaha huwezi kupoteza muda kwa vitu visivyogusa maisha yako kwa namna yoyote ile! Hail live the singo mamaz in town!

1780255576604.gif
 
Nizunguke nini sasa, kama wamependana mimi ni nani niweke pingamizi kwa ajili ya watoto? Seriously! watoto ambao utaishi nao muda mfupi tu wakishamaliza masomo kila mmoja anaenda zake kujitegemea yaani watoto kiwe kikwazo cha wewe kua na mwenza wako hiyo ni roho ya kimaskini sana, sikia nikwambie katika haya maisha acha kabisa kubagua watoto atakayekuja kukufaa uzeeni hutomjua, kizazi chako kinaweza kukusaliti ukaja kustiriwa na watoto wa wenzio, acha kabisa roho mbaya kwa watoto, yaani dah nakuhurumia sana kwa hiyo mentality yako, kumbe shida ni watoto!!! una safari ndefu sana. ptuuh
Kuongea ni rahisi sana kama hiyo situation haijafika kwenye familia yako. Kaka au mtoto wako ambae hana mtoto akiamua kuoa single mother nina uhakika deep down hautafurahi. Utalazimika kuheshimu tu maamuzi yake.

Halafu hakuna popote tuliposambaza chuki kwa watoto. Sina shida na watoto mimi mwenyewe nipo kwenye hatua za mwisho mwisho ku-adopt mtoto kituo cha kulea watoto yatima. Lakini suala la kubeba jukumu la kulea mtoto ambae baba yake yupo hai ilo siwezi kuafikiana nalo.
 
Na hii sababu ndio inayowafanya waolewe sana, nimefanya tafiti isiyo rasmi nimegundua wanaume wengi hua wanapenda utulivu kwa mwanamke ambaye ameshamaliza dhoruba zote, maisha yashamnyoosha akipata mwenza (mstiri wanasema) basi anashikilia ipasavyo hakuna kesi kwa wazazi wala wazee wa dini
Kwamba mwanamke aliyezalishwa na kuachwa ndo amemaliza dhuruba na ametulia?
😂 Haya
 
Back
Top Bottom