DIVIDE AND RULE: Mbinu ya kimedani inayotumiwa na single mothers

DIVIDE AND RULE: Mbinu ya kimedani inayotumiwa na single mothers

Sema singomaza ni watu na Medani ya utapeli kwa GenZ
Madogo wanakamia sana
20260529_183916.jpg
 
Cha kushangaza ndoa nyingi huku mtaani ni za single mothers 😂 na hii ndio inayowafanya hawa broke guys wasiishiwe makasiriko,
mwanamke aliyeamua kulea kiumbe chake kwa jasho na damu namuheshimu sana kuliko lishenzi limoja lililokimbia mkojo wake halafu linaanza kumsimanga mwanamke yule shujaa, ndio maana mkizeeka mnakua wanyonge wenye majuto, hakuna simu ya kujuliwa hali, huku wamama wakifaidi vitenge na tours mbali mbali kutoka kwa mayai yake aliyoyalea kwa upendo.
 
Imagine
uzuri haya huwa yanaishia hapa tu
Huku mtaani hali halisi wala sio haya yanaandikwq jf
Single mother anaoana na single father ni mara chache sana kukuta single mother anaolewa na mwanaume ambaye Hana mtoto hasa kwa ndoa za kikristo ila kwa ndoa za kislamu single mothers wanaolewa sana either anakuwa ni mke wa pili
 
Wanawake wengi wanafikiri wakigombana au wakiachana na mzazi mwenza basi mtoto anatakiwa kusimama upande wa mama kwenye huo ugomvi. Hii kitu inapelekea kumpandikiza sumu mtoto au kukata interactions baina ya mtoto na baba ake. Father figure absence kwenye malezi ya mtoto mara nyingi sababu huws ni mama mtoto kutaka ku-prove she is a super woman.
Super woman ni marketing campaign ambayo ilikuwa created kumuaminisha mwanamke kwamba anaweza fanya hivyo, ila matokeo mtaani yanajulikana
 
Cha kushangaza ndoa nyingi huku mtaani ni za single mothers 😂 na hii ndio inayowafanya hawa broke guys wasiishiwe makasiriko,
mwanamke aliyeamua kulea kiumbe chake kwa jasho na damu namuheshimu sana kuliko lishenzi limoja lililokimbia mkojo wake halafu linaanza kumsimanga mwanamke yule shujaa, ndio maana mkizeeka mnakua wanyonge wenye majuto, hakuna simu ya kujuliwa hali, huku wamama wakifaidi vitenge na tours mbali mbali kutoka kwa mayai yake aliyoyalea kwa upendo.
Ndio maana mimi huwa nawshangaa hizi habari zao za kujilisha faraja mitandaoni kumbe wanateseka kisaikolojia! Wanaolewa sana haohao mnaowaita singo mazaz tuwafahamishe tu!
 
Back
Top Bottom