Palac
JF-Expert Member
- Mar 29, 2025
- 3,775
- 10,094
Punguzeni kujirahisisha kwa masharobaroHao wanaume innocent waliokosea watu wa kuwazalisha, wanakosewa wao tu? kuweni na akili basi!
Punguzeni kujirahisisha kwa masharobaroHao wanaume innocent waliokosea watu wa kuwazalisha, wanakosewa wao tu? kuweni na akili basi!
Umenifananisha na madem zako wa kimboka?Punguzeni kujirahisisha kwa masharobaro
Nimewiwa kucomment paragraph ya kwanza kabisa, we jamaa Una uzoefu mkubwa Sana, very practical😄😄Single mother wote wakiingia kwenye mahusiano mapya huwa hawawaongelei vizuri wazazi wenzao. Hauwezi kusikia anasema "baba mtoto yupo anampenda na kumjali sana mwanae" . Mara zote utasikia "hata sijui yupo wapi. Atajua mwenyewe na maisha yake"
PerfectSuala la kushika au kutoshika mimba muamuzi mkuu ni mwanamke, na hakuna mwanaume anaweza kukuoa rasmi au mkakubaliana kuzaa halafu akakukimbia.
Single mother wengi tulionao mtaani wanaangukia kwenye categories za uzembe, tamaa, kudanga na kufikiri kumzalia mtoto mwanaume ni njia ya kujiakikoshia kuolewa
Kwa hiyo kama alizaa na Yule na Leo akazaa na Mimi Mume Mpya si maana yake anatupenda sote? Basi hakuna shidaMbona tulishakubaliana ni kuchangamsha nao kijiwe tu.
Ukitaka kuoa kabisa na baba mtoto/watoto yupo hapo ni kujitafutaia majanga.
Mwanamke hazai na mtu asiempenda. Asikudanganye anamchukia baba mtoto wake aisee. Anaweza mchukia aliembikiri ila sio baba wa mwanae.
Wanawake wanazingua sana na wakati wanakimbia kuzaa na wahuni tukiwambia wanasema Live My Life alone.Sio kila mtu anawaza kwa upana, wamebaki gaslighters na narcists tu!
HahahaSingo maza ni watu werevu sana! 😊
Hamna mahala mmepangiwa, avoid hast generalizations! Sio kila aliye na mtoto kazaa na fala, mambo hapo katikati ni mengi sana!Wanawake wanazingua sana na wakati wanakimbia kuzaa na wahuni tukiwambia wanasema Live My Life alone.
Sasa watuluie tu Sisi tunapiga sofa, msitupangie cha kujadili
Uko Sawa lakini majority ni ujeuri, ujuaji na kukurupukaHamna mahaka mmepangiwa, avois hast generalizations! Sio kila aliye na mtoto kazaa na fala, mambo hapo katikati ni mengi sana!
Duhh hapo kwei kuna ka ujinga! Nimekuelewa mkuu!Uko Sawa lakini majority ni ujeuri, ujuaji na kukurupuka
Unaweza kuniambia kwanini walioachana huwa wanarudiana hata kwa kujificha na ndio maana watu wanaogopa kuwapa? Ni kwa sababu Wanaachana kwa sababu ndogo ndogo zenye ujeuri na ujuaji. Baadae wakishakataa separate kwa miaka miwili mitatu wanakuja my realize kwamba walikosea wanatamani chance tena. Wakikutana wanakulana siku hiyo hiyo
Ni kwanini uwataje wa kimboka tuUmenifananisha na madem zako wa kimboka?
Nadhani sasa tumeelewana, Watu Wanaachana kwa sababu za kibnafsi bila kikali athari kwa watoto na Jamii.Duhh hapo kwei kuna ka ujinga! Nimekuelewa mkuu!
Lakn lipo la kutoshautammalizia mtoto! 😳
Unaweza kuwa ni single mother na still ukawa umewahi kutoa mimba, Mwanamke anamzalia mwanaume anayempenda au mwenye uchumi mzuriKwa jamii ambayo hairuhusu abortion, jamii ambayo wanaofanya illegal abortion wanakuwa shamed pia, sikutegemea mtu aliyezaa awe shamed only kwasababu analea pekeyake…. Principally amechagua kitu sahihi…. Sijui kama tunaliona hili.
Tutajadili hili siku nyingine, huu uzi ni wa kwao hawa wanaume na masomo yao binafsi.
Totally missed my point.Unaweza kuwa ni single mother na still ukawa umewahi kutoa mimba, Mwanamke anamzalia mwanaume anayempenda au mwenye uchumi mzuri
Kuwa single mother haijustify kuwa Huna history ya kutoa mimba sijui nani Natafuta Ajira kawaaminisha eti ukiwa hauna mtoto wewe umetoa mimba alafu ukiwa single mother unakuwa mtu ambaye hujawi kutoa mimba Mfano mzuri ni ex wangu ambaye alikuwa single mother aliniambia kabisa kuwa kabla ajazaa aliwahi kutoa mimba na wakati nipo nae aliwahi kunicheat na akapewa mimba na mtu mwingine alafu akaitoa ile mimba na Mimi nilijuaKwa jamii ambayo hairuhusu abortion, jamii ambayo wanaofanya illegal abortion wanakuwa shamed pia, sikutegemea mtu aliyezaa awe shamed only kwasababu analea pekeyake…. Principally amechagua kitu sahihi…. Sijui kama tunaliona hili.
Tutajadili hili siku nyingine, huu uzi ni wa kwao hawa wanaume na masomo yao binafsi.
Shangaa na wewe!Kila siku mnawajadili single maza,,hakuna topic zingine?