DIVIDE AND RULE: Mbinu ya kimedani inayotumiwa na single mothers

My unpopular opinion… As long as mtu ni mwanamke, amezaa au ana tarajia kuzaa, ni single mother mtarajiwa. Mostly…..

Kwasababu mwanaume kutokuwa kwenye maisha ya mwanae ni CHOICE anakuwa amefanya, kwa circumstances zozote zile angechagua kufanya tofauti hili jina single mother lisingekuwepo.

Bado kuna single mother wa kwenye ndoa, sorry not sorry… Hawa wameshindwa kuendure shame ya kuitwa single mother kamili wameona wajifiche huo.

It all starts with a man.
Yes, and the other way round pia. Kuna wanaume wapo kwenye mahusiano kwasababu hiyo hiyo pia. Maji ukiyavulia nguo lazima uyaoge
 
I'd like to argue.
Kama initial attraction Huwa inaanza Kwa mtu mmoja, hivyo hivyo hata kwenye kuzaa mwanamke anaweza kuwa seduced mpaka akazalishwa. Or the other way round mwanamke akamshawishi kijana na kuzaa nae
Kwa jamii ambayo hairuhusu abortion, jamii ambayo wanaofanya illegal abortion wanakuwa shamed pia, sikutegemea mtu aliyezaa awe shamed only kwasababu analea pekeyake…. Principally amechagua kitu sahihi…. Sijui kama tunaliona hili.

Tutajadili hili siku nyingine, huu uzi ni wa kwao hawa wanaume na masomo yao binafsi.
 
Lazima awe shamed(according to my perspective) hapo kwenye abortion nakukatalia hata iweje, just because umezaa Kwa sababu ulikuwa seduced. How can you?

Mimi nabase kwenye huo usawa uliozungumzia mwanzo tu, kuwa both ends Huwa wana point fingers to one another. Na kinacho mmfanya mmoja avumilie ni kujali watoto, au aibu ya jamii
 
Tatizo langu ni UNO reverse card inayotumiwa na wanaume kwenye kila kitu….

Mtu ili asifanye jambo moja, lazima awe amepewa options, au basi asiwe involved kabisa. Mfano ili mwanamke asiwe single mother , asizae kabisa 😂 Jokes right???
 
Mtu anaenda kuoa jimama lililoachika bila kujiuliza mwenzake aliona nini mpaka akaacha. Ukute jimama lilimuacha mume wake kijeuri tu, halafu mwanaume wa pili/tatu anaona wanaume wenzake walioachana na huyo jimama ni mafala na yeye ni mjanja
 
I'd like to argue.
Kama initial attraction Huwa inaanza Kwa mtu mmoja, hivyo hivyo hata kwenye kuzaa mwanamke anaweza kuwa seduced mpaka akazalishwa. Or the other way round mwanamke akamshawishi kijana na kuzaa nae
Nime-base kwenye baiolojia zaidi. Mwanamke mdie gatekeeper wa fertility
 
Mtu ili asifanye jambo moja, lazima awe amepewa options, au basi asiwe involved kabisa. Mfano ili mwanamke asiwe single mother , asizae kabisa 😂 Jokes right???
Mkuu linapokuja swala la mahusiano(attraction) na love making, nothing logical makes sense sometimes. It's always trial and error.. so tunaweza tukaja na options chungu mzima ila love is unexpectedly gonna defy them
 
Wakati huo huo “naive” ndio sifa ya mwanamke mzuri!?

Tukiacha personal experience, tukajadili mitazamo ya jamii.

Mi naona ni good match, a naive ke + Me asiyejua boundaries 😅
Yep, I like naive women... Yaani anipende Kwa jinsi nilivyo unconditionally.
Mwanaume asiye jua boundaries hataweza vyema kumcontrol naive woman. Lasivyo atachapiwa mbele ya macho yake.
 
My unpopular opinion… As long as mtu ni mwanamke, amezaa au ana tarajia kuzaa, ni single mother mtarajiwa. Mostly…..

Kwasababu mwanaume kutokuwa kwenye maisha ya mwanae ni CHOICE anakuwa amefanya, kwa circumstances zozote zile angechagua kufanya tofauti hili jina single mother lisingekuwepo.

Bado kuna single mother wa kwenye ndoa, sorry not sorry… Hawa wameshindwa kuendure shame ya kuitwa single mother kamili wameona wajifiche huo.

It all starts with a man.
Kwani hua kunae double mother?
Kabla sijachangia hoja, bora waseme single parent.

Sitaki chupa ya soda niletee energy....
 
Ubishi uliotokea kati ya energy na Hennessy 😂

Politically correct “single parent “
 
Back
Top Bottom