Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 14,421
- 40,936
- Thread starter
- #21
Anzisha wewe mjadala wa single fathers. Jf ni jukwaa huru kwa kila mtu.Why you guys, you never talk about SINGLE FATHERS… why
Kwanin? Tunawaonea sana hawa singo mazas na ukuti hata siku moja tukidiscus kuhusu singo fazas why
Mifumo dume.. makosa mengi sana anapigwa nayo singo maza