DIVIDE AND RULE: Mbinu ya kimedani inayotumiwa na single mothers

DIVIDE AND RULE: Mbinu ya kimedani inayotumiwa na single mothers

Mfano Kuna kibinti nilikua nakitaka ,ila chenyewe kikawa kina nataka vijana wenzie wa kisasa, kikaruruka kikapewa mimba aliyempa mimba kala Kona, kimejifungua Sasa mtoto anahitaji mahitaji,mama anahitaji mahitaji, mtoto anatimiza Mwaka anataka kumfanyia birthday mashoga zake wajae ,wamchangie

Kamejaa kwenye 18 ,kinaliwa soon
 
Yaani unazungumzia wapumbavu kama huyo wa kwako kwa kutukana singo maza wote?🤭
 
Sijui kwanini mnalazimisha singo maza wote waonekane wapumbavu kisa wachache mnaokutana nao huko vichochoroni!
Hahahaha inawezekana wakawa hivyo huwezi jua...ujue mpumbavu hajui kama yeye ni mpumbavu

Na huo upumbavu ndio umemfanya awe,aitwe single mother

So hitimisho single mother ni wapumbavu,hii naenda nayo
 
Back
Top Bottom