DIVIDE AND RULE: Mbinu ya kimedani inayotumiwa na single mothers

Hahahaha, maana unakuta single mother ana watoto wa 2 au 3 wote Wana baba zao
Huo ufala sasa! Umekosea mara moja ya pili ni usenge! Ukishang’atwa na nyoka hata ujani ukikugusa lazima uruke vibaya, sijui lakini tunatofautiana akili.. ukishazaa na mwanaume mmoja mkashindwana hakuna ulazima wa kuzalia watu, hujaja duniani kuzalisha watoto wa watu! Hakuna faida yoyote!
 
Hahahaha,ila wapo ujue
 
Najua wapo, hakuna mtu hajui kama watu! Ila sio sababu za kuwajumuisha wote kwenye kundi la wapumbavu!
Nimependa Hilo neno wapumbavu kwenye kuwafananisha hao single mother

Ila mie sina baya nao,maana nisharuka nao sana tu, kifupi wamenifadhili sana zile haja kuu
 
Back
Top Bottom