Uchaguzi 2020 Divine Power ndani ya Lissu si mchezo

Uchaguzi 2020 Divine Power ndani ya Lissu si mchezo

Rasterman

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2015
Posts
33,894
Reaction score
44,117
Asalam aleykum

Tukiwa tunashuhudia mtanange wa vyama vya siasa katika mchakato wa uchaguzi unaotarajiwa hapo badae October 28 ni vyema tukajadili kidogo Lissu anapata nguvu hii wapi na kutoka kwa nani.

Sote nchini na nje ya nchi tumeshuhudia imani, mapenzi, mvuto na baraka alizonazo Tundu Lissu huku tukishangazwa na jinsi anvyoruka viunzi magogo na mashimo kutoka kwa maadui wake.

Si jambo la kawaida hata kidogo, ni lazima tujiulize hii ngivu inatoka kwa Lissu kama Lissu au kuna extra power( mysteious)
There must be a mystic power from God, a Devine power.

Walimpiga risasi 16 hakufa, wakamnyang'anya stahili zake kama mbunge za matibabu hakufa, wakamvua ubunge akasavaivu, wakasema hataurudi nchini huyo mlemavu akarudi, wakasema akirudi tu anapigwa nyingine na kwamba mwaka huu hawatakosa shabaha, mara ooh akija atafikia Segerea, huku wakiseama na kujiapiza atanyang'anywa passport, atafikia mahakamani, akaja mchana kweupe.

Alipofika wakasema chama chake hakitamteua Mbowe kashakula pesa za Nyarandu na Membe. Akateuliwa, wakasema hata pata fomu amefanya kampeni mapema fomu akapata, wakaja na single nyingine eti hajahakiki fomu zake.
Na leo Ameteuliwa.

Hivi vigingi vyote kuvivuka sio nguvu ya Lissu its a devine power.

Hii imenikumbusha kisa kimoja cha wana wa Israel wakitoka Misri wakiongoza na Yuda, Simion, kalebo.

Yuda alipofika nchini kannai aliwakuta wafilisti akapambana nao huku wakiwa na siraha kali moala magari ya kutembea wakati huo hakuna teknolojia hiyo dunia nzima ispokiwa kwa wafilisti. Lakini Yuda huyo ktk nchi ile yerusalem aliwafurumusha wanajeshi wapatao 1000 kwa siku moja na kuwaua wote kwa kutumia mfupa wa taya la Ngamia.

Baadae akazaliwa kiumbe mwenye Agano( nadhili ya Mungu) naye ni Samson aliweza kuua simba kwa mikono yake. Na kuwafunga mbweha zIdi ya elfu moja mkia kwa mkia kwa kutumia mkono wake

Amakweli Tundu Lissu ameua simba kwa mkono pale NEC.
 

Attachments

Hv kwa mfano akishinda alafu tume ile ya bwana yule wasimpomtangaza mtafanya nni?
 
Hakika huu ni muujiza mkuu wa Mungu

Kwa huyu Tundu Lissu kuvivuka hivi vikwazo vyote vigumu sana, kimoja baada ya kingine, hakika huu ni muujiza mkuu wa Mungu!

Huu mpambano wa Lissu VS Magufuli katika uchaguzi mkuu ujao mwaka huu, naufananisha na ule mpambano wa kwenye Biblia wa Daudi VS Goliath.

Hakika kama vile yule kijana mdogo kabisa, mchungaji wa kondoo, Daudi alivyomshinda yule mbabe wa kivita, Goliath,kwa manati peke yake, kwa uwezo wa Mungu, vivyo hivyo naamini huyu Tundu Lissu atamshinda huyu mbabe ambaye anatumia nguvu zote za vyombo vya dola hapa nchini, John Magufuli, kwa uwezo ule ule uliompa ushindi Daudi kwa nguvu za Mungu!

Tutarajie kuuona muujiza mkuu wa Mungu katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu!
 
Hakika huu ni muujiza mkuu wa Mungu

Kwa huyu Tundu Lissu kuvivuka hivi vikwazo vyote vigumu sans, kimoja baada ya kingine, hakika huu ni muujiza mkuu wa Mungu.

Huu mpambano wa Lissu VS Magufuli katika uchaguzi mkuu ujao mwaka huu, naufananisha na ule mpambano wa kwenye Biblia wa Daudi VS Goliath.

Hakika kama vile Daudi alivyomshinda yule mbabe wa kivita, kwa manati peke yake, yule kiumbe wa kutisha katika medani za kivita, Goliath, kwa uwezo wa Mungu, vivyo hivyo naamini huyu Tundu Lissu atamshinda huyu mbabe ambaye ambaye anatumia nguvu zote za vyombo vya dola hapa nchini, John Magufuli, kwa uwezo ule ule uliompa ushindi Daudi kwa nguvu za Mungu!

Tutarajie kuuona muujiza mkuu wa Mungu katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu!
Ndugu zangu wa kijani siwaoni kabisa huku ..wamepoteana kabisa na wengine muda huu wanaandikiwa mada za kupost kesho kumponda mgombea wa CHADEMA
 
Hapo kwenye ‘si jambo la kawaida hata kidogo’ umenifurahisha sana. Tundu Lissu ni nabii aliyetumwa na Mungu kutuokoa huku gizani tuliko sasa. Mungu yu pamoja nae.

Leo hali ilikuwa mbaya sana.. the pressure was just too much. Ila Mungu ni mwema sana. Na atatuvusha tu kiuwepesi kabisa. Viva Tundu Lissu.. Rais wetu kipenzi anayengoja kutangazwa tu.
 
Tukiachana na siasa, kiubinadamu kabisa, waliohusika na shambulio lile hawajisikii vibaya wakimuona anavyojikongoja kwenye kutembea?! Huo ulemavu waliompa jamani inaskitisha sana.

Namshkuru Mungu tu naona wamempa ujasiri na upako wa ajabu sana.. maana unaweza tu kumsoma usoni kuwa HE IS UNSTOPPABLE. Nakuchechemea kote ila anakiendea kiti cha Urais. Wamelikoroga, Lissu anawapokonya kiti. Na wananchi jamani hamtwambii kitu, tunamtaka Lissu tu.
 
Mara ya mwisho mlimpigia mtu deki barabara. Safari hii sijui mna mpya gani? Loketo wenu mpelekeni kisutu leo
 
Back
Top Bottom