fundi25
JF-Expert Member
- Apr 16, 2013
- 10,378
- 11,537
Tutajuwa mda utakapo fika hatujaona Simba au nyoka tubebe marungu ya nini?Hv kwa mfano akishinda alafu tume ile ya bwana yule wasimpomtangaza mtafanya nni?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tutajuwa mda utakapo fika hatujaona Simba au nyoka tubebe marungu ya nini?Hv kwa mfano akishinda alafu tume ile ya bwana yule wasimpomtangaza mtafanya nni?
Subiri, mbona uko na kiherehereHv kwa mfano akishinda alafu tume ile ya bwana yule wasimpomtangaza mtafanya nni?
Wallah siku Tundu Lissu anatangazwa kuwa Rais ndo siku hiyo hiyo Ndugai atahama nchi na kwenda kuwa mkimbizi Burundi!Yes he is chosen
Tukiufikia huo mto tutajua namna ya kuuvuka by Tundu LissuHv kwa mfano akishinda alafu tume ile ya bwana yule wasimpomtangaza mtafanya nni?
All in all huu mpambano usiwe kwenye mitandao, maana tunajua shida ya siasa yetu nowdays mitandao ina_heat kwelikweli ila huko mtaani sasa!Hapo kwenye ‘si jambo la kawaida hata kidogo’ umenifurahisha sana. Tundu Lissu ni nabii aliyetumwa na Mungu kutuokoa huku gizani tuliko sasa. Mungu yu pamoja nae.
Leo hali ilikuwa mbaya sana.. the pressure was just too much. Ila Mungu ni mwema sana. Na atatuvusha tu kiuwepesi kabisa. Viva Tundu Lissu.. Rais wetu kipenzi anayengoja kutangazwa tu.
HeheeeeAnaweza akawa ndio yule masihi aliyetabiliwa
Una macho lakini huoni. Mtinange wa Lissu huuoni?? Nchi nzima imejimobilize kupamba na Lissu mmoja?? Watu wanamizika wakimwona Lissu utadhani MasihAll in all huu mpambano usiwe kwenye mitandao, maana tunajua shida ya siasa yetu nowdays mitandao ina_heat kwelikweli ila huko mtaani sasa!
Wanapita bila kupingwa!! Myass!Sifa za kijinga na kukosa mbinu za kuwasaidia watu.
Kinachoendelea sasa hivi ni kugawana kura chache za upinzani kati ya wagombea na kuwaacha CCM wapite. Badala ya kuunganisha nguvu, ninyi munajiona eti muna nguvu sana! Zitoke wapi wakati CCM wanapita bila kupingwa? Kura ngapi zinapotea ktk majimbo zaidi ya 10 kwa sasa tu! Lenu ni ubinafsi kila siku bila mafanikio. Subili uone mutakavyopigwa majimboni!
yeye ndiye msaliti? Wananchi wamemkatalia Aliyesema hivyo kwa vitendo.Kuna waliosema wasaliti hawawezi ku survive....kwahiyo kitendo cha Lissu ku survive kinathibitisha kwamba Lissu siyo msaliti.
Soma Waamuzi sura ya 13. Acha porojoHapo kwenye issue ya wana wa Israel kutoka Egypt, aiseee umetulisha matango pori mengi tu!
Hivi una habari kuwa ccm huko tayari ina majimbo 22?Una macho lakini huoni. Mtinange wa Lissu huuoni?? Nchi nzima imejimobilize kupamba na Lissu mmoja?? Watu wanamizika wakimwona Lissu utadhani Masih
Hatutaki ahame tena anaweza kuendelea kuwa spika bora kabisa. Watabadilika mindset zao na kuwa watu bora kabisa. Na hatuna nia yoyote ya kiwalipiza kisasi. Tumemwachia Mungu.Wallah siku Tundu Lissu anatangazwa kuwa Rais ndo siku hiyo hiyo Ndugai atahama nchi na kwenda kuwa mkimbizi Burundi!
Kwani hao 22 umeambiwa wamepitishwa na wananchi?? Au unadhani wanapendwa na wananchi?? Thubutu. Hao wamepita kwa nguvu ya mitutu na mitulingaHivi una habari kuwa ccm huko tayari ina majimbo 22?
Sasa hebu pata picha kura za urais kwenye hayo majimbo itakuwaje?
.
Chadema tukiwaambia ccm iko huku field huku nyie mko mitandaoni mnatoa mapovu
Ashinde kwa kura zipi mkuu?.. Wakati ccm imeshawapiga bao tangu kwenye idadi ya wapiga kura na sasa hivi tayari ina wabunge 22 kibindoni.Hv kwa mfano akishinda alafu tume ile ya bwana yule wasimpomtangaza mtafanya nni?
Sasa kama unajua hilo kipi kitampitisha Lisu kuwa rais? Ikiwa wabunge tu ni hivyo?Kwani hao 22 umeambiwa wamepitishwa na wananchi?? Au unadhani wanapendwa na wananchi?? Thubutu. Hao wamepita kwa nguvu ya mitutu na mitulinga
Jibu murua kabisa. Kwanza akishinda anaachaje kutomtangaza. Kama ana ubavu huo angeanza Jana kutomteua ili kumaliA mchezo mapema. Kitemdo cha kumruhusu tu its a grave mistake to them.Tukiufikia huo mto tutajua namna ya kuuvuka by Tundu Lissu