Uchaguzi 2020 Divine Power ndani ya Lissu si mchezo

Uchaguzi 2020 Divine Power ndani ya Lissu si mchezo

Nilisema mahala humu. Vyovyote vile Magufuli hawezi mshinda Lissu kwenye uchaguzi huu na hili nalimaanisha kweli.

Haiwezekani upone risasi 16 bila kuwepo mpango mkubwa na wa kipekee wa Mungu juu yako. Nasema tena Haiwezekani.

Nguvu ya Lissu imeanzia kiroho na Ndo mana inakuwa shida sana kupambana nae. Mtu akiwa na kibali cha Mungu hakuna kiumbe wa kumsimamisha, si bunduki, si fitna wala si kebehi

Wasoma Biblia wengi tumejikuta kwenye maandiko mengi sana tunapata uhalisia wa Lissu.
Mie kwangu suala la Lissu kuwa mshindi dhidi ya Magufuli nalifananisha na suala la Mfalme Daudi na Mfalme Sauli.

Mfalme Sauli alijitahidi sana kumzuia Daudi asiwe mfalme mpaka kufikia kutaka kumuua ila Mungu alikuwa upande wa Daudi na alimuokoa na yote na akamfanya kuwa Mfalme wa Israel.

Hakuna tofauti kati ya Mfalme Sauli na Magu na Mfalme Daudi na Tundu Lissu
 
Hapo kwenye issue ya wana wa Israel kutoka Egypt, aiseee umetulisha matango pori mengi tu!
 
Sifa za kijinga na kukosa mbinu za kuwasaidia watu.
Kinachoendelea sasa hivi ni kugawana kura chache za upinzani kati ya wagombea na kuwaacha CCM wapite. Badala ya kuunganisha nguvu, ninyi munajiona eti muna nguvu sana! Zitoke wapi wakati CCM wanapita bila kupingwa? Kura ngapi zinapotea ktk majimbo zaidi ya 10 kwa sasa tu! Lenu ni ubinafsi kila siku bila mafanikio. Subili uone mutakavyopigwa majimboni!
 
Hapo kwenye ‘si jambo la kawaida hata kidogo’ umenifurahisha sana. Tundu Lissu ni nabii aliyetumwa na Mungu kutuokoa huku gizani tuliko sasa. Mungu yu pamoja nae.

Leo hali ilikuwa mbaya sana.. the pressure was just too much. Ila Mungu ni mwema sana. Na atatuvusha tu kiuwepesi kabisa. Viva Tundu Lissu.. Rais wetu kipenzi anayengoja kutangazwa tu.
All in all huu mpambano usiwe kwenye mitandao, maana tunajua shida ya siasa yetu nowdays mitandao ina_heat kwelikweli ila huko mtaani sasa!
 
All in all huu mpambano usiwe kwenye mitandao, maana tunajua shida ya siasa yetu nowdays mitandao ina_heat kwelikweli ila huko mtaani sasa!
Una macho lakini huoni. Mtinange wa Lissu huuoni?? Nchi nzima imejimobilize kupamba na Lissu mmoja?? Watu wanamizika wakimwona Lissu utadhani Masih
 
Sifa za kijinga na kukosa mbinu za kuwasaidia watu.
Kinachoendelea sasa hivi ni kugawana kura chache za upinzani kati ya wagombea na kuwaacha CCM wapite. Badala ya kuunganisha nguvu, ninyi munajiona eti muna nguvu sana! Zitoke wapi wakati CCM wanapita bila kupingwa? Kura ngapi zinapotea ktk majimbo zaidi ya 10 kwa sasa tu! Lenu ni ubinafsi kila siku bila mafanikio. Subili uone mutakavyopigwa majimboni!
Wanapita bila kupingwa!! Myass!
 
Una macho lakini huoni. Mtinange wa Lissu huuoni?? Nchi nzima imejimobilize kupamba na Lissu mmoja?? Watu wanamizika wakimwona Lissu utadhani Masih
Hivi una habari kuwa ccm huko tayari ina majimbo 22?

Sasa hebu pata picha kura za urais kwenye hayo majimbo itakuwaje?
.
Chadema tukiwaambia ccm iko huku field huku nyie mko mitandaoni mnatoa mapovu
 
Wallah siku Tundu Lissu anatangazwa kuwa Rais ndo siku hiyo hiyo Ndugai atahama nchi na kwenda kuwa mkimbizi Burundi!
Hatutaki ahame tena anaweza kuendelea kuwa spika bora kabisa. Watabadilika mindset zao na kuwa watu bora kabisa. Na hatuna nia yoyote ya kiwalipiza kisasi. Tumemwachia Mungu.
 
Hivi una habari kuwa ccm huko tayari ina majimbo 22?

Sasa hebu pata picha kura za urais kwenye hayo majimbo itakuwaje?
.
Chadema tukiwaambia ccm iko huku field huku nyie mko mitandaoni mnatoa mapovu
Kwani hao 22 umeambiwa wamepitishwa na wananchi?? Au unadhani wanapendwa na wananchi?? Thubutu. Hao wamepita kwa nguvu ya mitutu na mitulinga
 
Hv kwa mfano akishinda alafu tume ile ya bwana yule wasimpomtangaza mtafanya nni?
Ashinde kwa kura zipi mkuu?.. Wakati ccm imeshawapiga bao tangu kwenye idadi ya wapiga kura na sasa hivi tayari ina wabunge 22 kibindoni.
 
Kwani hao 22 umeambiwa wamepitishwa na wananchi?? Au unadhani wanapendwa na wananchi?? Thubutu. Hao wamepita kwa nguvu ya mitutu na mitulinga
Sasa kama unajua hilo kipi kitampitisha Lisu kuwa rais? Ikiwa wabunge tu ni hivyo?
 
Tukiufikia huo mto tutajua namna ya kuuvuka by Tundu Lissu
Jibu murua kabisa. Kwanza akishinda anaachaje kutomtangaza. Kama ana ubavu huo angeanza Jana kutomteua ili kumaliA mchezo mapema. Kitemdo cha kumruhusu tu its a grave mistake to them.
 
Back
Top Bottom