Uchaguzi 2020 Divine Power ndani ya Lissu si mchezo

Mungu ni mwema sana si jambo rahisi kabisa alilopitia Lisu. Its not easy at all
 
Nakuunga mkono. Kitendo cha Mungu kumponyesha Lissu ndani ya hizi harakati kimewabadili wengi wamuaminio Mungu kwa dhati. Huu ni mpango wa Mungu usio na makosa!

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
Jana nilimuona yule dikteta, muuaji, mwizi, bichwa box akicheka kama mbwa anayetoa meno kutaka kuuma! au mbwa anayekunya mfupa! anaonyesha ana machungu kibao moyoni. Hamalizi kampeni salama trust me!
 
Hawa baadhi ya wanaojiita viongozi wa dini bado hawaoni kwamba unabii umetimia ndani ya Lissu, Hakuna mwanadamu wa kawaida upigwe risasi 16 zikuingie mwilini zote USIFE - Haiwezekani aisee!! haiwezekani.

Huu ni unabii, Kuna mengi na ya ajabu yaja, watanzania mtashangaa na ulimwengu utashangaa.

Mungu akiamua kumuinua mwanadamu basi hakuna linaloshindikana kwake.
 
Subiri utaona. Hizo utaona utaona zimeshakuwa nyingi toka anapigwa risasi mpaka jana. Kila sehemu Lissu aachanja mbuga tu. Watu wanabaki hawaamini amechomoka vipi.
Jana si mlikua mnatoa kamasi humu hadi jioni jamaa kapitishwa ndo mnatoka kuropoka ....ya jana ndogo vile na mkanywea kuapishwa mtazimia kabisa nyie ma keyboard warriors
 
Mbona munaleta taharuki mtaani.
Tuambieni makosa aliyofanya ambayo yangepelekea kukatwa. Kwani yeye kupitishwa ndo kawa wa kwanza kwa upinzani kupita.
Lowasa hata miezi miwili hakumaliza akiwa Chadema lakini alipitishwa na tume hihi na akatangazwa mshindi wa pili kwa 40%. Tusubili 28 oct.
 
Hivi una habari kuwa ccm huko tayari ina majimbo 22?

Sasa hebu pata picha kura za urais kwenye hayo majimbo itakuwaje?
.
Chadema tukiwaambia ccm iko huku field huku nyie mko mitandaoni mnatoa mapovu
Aliyeko mtandaoni ana wengine kdhaa huko vijijini wanaomsikiliza. Ni kweli wapiga kura wako kijijini lakini wako wenye ufahamu japo wengine ndo hivo.
Mapambanolazima watu wasibweteke.
Hata Lissu amesema mara nyingi uchaguzi huu si rahisi!

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
Hahaaaa siasa na masuala ya Kiroho sahau kabisa ndg. Ukitaka kujua hivyo jaribu hata umwenyekiti wa mtaa uone shughuli yake.
Kanisani na Msiktini wanaenda formality tu. Lakini nguvu zao wanazijua vizuri wapi wanapata.
 
Hv kwa mfano akishinda alafu tume ile ya bwana yule wasimpomtangaza mtafanya nni?
Kibaka wa mtaani huwa anafanywa nini!? Ndivyo tutakavyowafanya, subiri muone muziki kama mnadhani tunatania.
 
Uongo huo.
 
Mkuu jimama26 em agiza chochote mie nakuja kulipa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mwanzo umeanza na Assalam alaykum. Mwisho ukatubatiza. Hahahaha safi sana. Serekali haina dini. Maendeleo.hayana chama
Watanzania ni wamoja, ndo maana hata ujenzi wa misikiti na makanisa tunachangiana.
 
Hahaaaa siasa na masuala ya Kiroho sahau kabisa ndg. Ukitaka kujua hivyo jaribu hata umwenyekiti wa mtaa uone shughuli yake.
Kanisani na Msiktini wanaenda formality tu. Lakini nguvu zao wanazijua vizuri wapi wanapata.
Nakukatalia; nimewahi kuwa kiongozi wa kisiasa katika serikali kwa kuchaguliwa. Daima nilifanya Kampeni kistaarabu huku nikiwa nampigia Mungu magoti. Baadhi ya watu waliniuliza juu ya imani kwa nguvu za Giza, nikawajibu kwamba nataka nimjaribu Mungu nimwone katika hili. Nimeujua ukuu wake.
 
Tatizo kubwa watu wengi wa ccm wanamkimbia Mungu kwa kudhani wakitenda haki Mungu atawwangusha. Wanaona Mungu anawachelewesha ama wao wanaelewa vizuri kuliko Mungu. Lolote linawezekana ila itakuwa kaangushwa na manafiki uchwara yanayojifanya mema mchana usiku ni maharamia na machawi.
 
Hivi una habari kuwa ccm huko tayari ina majimbo 22?

Sasa hebu pata picha kura za urais kwenye hayo majimbo itakuwaje?
.
Chadema tukiwaambia ccm iko huku field huku nyie mko mitandaoni mnatoa mapovu
Kama wamepitishwa kwa hila inahusiana vipi na kura za wananchi?

Kama Nyerere na wenzake enzi hizo walivyochoka ukoloni, ndivyo na sisi wananchi tulivyo ichoka ccm
 
1. CHAKU SIKITISHA ZAIDI HAWEZI KUWA RAISI WA TANZANIA LABDA MAKAMU ENDAPO TUTALAZIMIKA KUINGIA MSETO.
2. Tundu Lissu ni mshindani bora iila with a wrong opponent, in a wrong time, in right circumstances. Na maanisha kwamba, Magufuli anafanya yale mambo ambayo kila Mtanzania alikuwa akiyalalamikia na kutamani yafanywe awamu ya 4 ya Kikwete, Kikwete aliitwa majina mengi sana na ilifika mahala watu kusema bora Tz tupate dinteta watu wanyooke haya sasa ndo maana kuna msema "be careful about what you wish for!"
3. Wakati sahihi wa Tundu Lissu ingekuwa ni endapo Magu huu ungekuwa muhula wake wa mwisho nikiwa na maana anaposibility kubwa sana 2025 maana hapo ndipo kiza limipo na sisiem mpaka sasa dira hiyo ni dhaifu mno na yenye contradictions nyingi mno ila sasa do mpaka iyo 2025 kama hakutakuwa na tukio.
4. Magu anachance kubwa sana tiki compare na Lissu ni ratio ya 60% :40% respectively.
 
Mungu mbariki Tundu Lissu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…