Uchaguzi 2020 Divine Power ndani ya Lissu si mchezo

Mkuu toa lema hapo hatoboi kabisaa arusha mjini..... Ingia tu kwenye page yake ya facebook utaona watu wanavyompinga waziwazi... Lema ni mzigo kwa arusha mjini....
Alafu mtu bado anaota ushindi kwa Lisu?

Mimi mpaka sasa hivi sioni chadema ikivusha wabunge 10
 
Shida ya hawa jamaa hawapo realistic na wakiambiwa ukweli wanaona unawapinga.... Hao jamaa wote unaowasema watakuwa wanapambania kurescue majimbo yao.. inamaana campain lisu anaweza kwenda na watu wachache wakumsapoti.
Njoo upande wa pili huku magu atakuwa na timu yake. Samia yake. Majaliwa yake na timu zingine nyingi inamaana wataichafua nchi nzima kweli kweli...
Hawa jamaa hawaoni uhalisia ila wanahali mbaya, uchaguzi sio jf tuu hamna wapiga kura humu... Na kipind hichi hela hawana..
 
Uchaguzi ukiisha uje hapa tujadili jinsi ccm ilivyoiba kura kama kawaida.
 
Kabisa mkuu mfano hao wabunge 22 wa ccm ambao wameshapita wote watatoka majimboni mwao kwenda kushambulia kwingineko
 
Kama mnayajua hayo yote, woga wa nini sasa hadi mnajaribu kumfanyia figisu figisu? Jana tu fomu ya lissu imehakikiwa zaidi ya masaa saba wakati wagombea wengine hatukuona hizo figisu.
 
Kama mnayajua hayo yote, woga wa nini sasa hadi mnajaribu kumfanyia figisu figisu? Jana tu fomu ya lissu imehakikiwa zaidi ya masaa saba wakati wagombea wengine hatukuona hizo figisu.
Sababu za kuhakikiwa masaa saba ilikuwa ni nini?
 
Hv kwa mfano akishinda alafu tume ile ya bwana yule wasimpomtangaza mtafanya nni?
Njia iliyotumika kumpitisha Jana kuwa mgombea ndio hivyo atakavyotangazwa kuwa rais WA jamhuri ya muungano WA Tanzania tulia men
 
Ndugu zangu wa kijani siwaoni kabisa huku ..wamepoteana kabisa na wengine muda huu wanaandikiwa mada za kupost kesho kumponda mgombea wa CHADEMA
Wamepotea kabisa hawana hamu miyoni mwao wanagugumia tu huku wakiona ukuu wa MUNGU unavyotamalaki
 
Hivi una habari kuwa ccm huko tayari ina majimbo 22?

Sasa hebu pata picha kura za urais kwenye hayo majimbo itakuwaje?
.
Chadema tukiwaambia ccm iko huku field huku nyie mko mitandaoni mnatoa mapovu
Akili zako unazijua mwenyewe
 
Kama mnayajua hayo yote, woga wa nini sasa hadi mnajaribu kumfanyia figisu figisu? Jana tu fomu ya lissu imehakikiwa zaidi ya masaa saba wakati wagombea wengine hatukuona hizo figisu.
Sababu ya yy kuchelewa mnaijua na ni uzembe wake hayupo organized na ujuaji mwingi... Mkuu bila timu imara jamaa hatoboi na ndo maana suggestion ilikuwa ni kuungana kama kweli wanania ya kuitoa ccm
Ila kama nikutengeneza cv na yy aliwahi kugombeaga uraisi basi ataipata
Wabunge wenu machachari karibia wote majimboni hali yao ni mbaya kuanzia kwa mbowe,heche, bulaya, mdee..
 
Ashinde kwa kura zipi mkuu?.. Wakati ccm imeshawapiga bao tangu kwenye idadi ya wapiga kura na sasa hivi tayari ina wabunge 22 kibindoni.
Wee una akili zinafanya kazi vizuri au ndio umeamua kuziweka juu?hao wabunge wamechaguliwa na wanachi?
 
tafuta maisha yako acha umbeya acha kujadili watu tumia akili yako vizuri
 
Hv kwa mfano akishinda alafu tume ile ya bwana yule wasimpomtangaza mtafanya nni?

Unauliza swali ktk jambo lisilokuwepo na obviously huwezi kupata jibu lake...

Mwaka huu hayo mambo hayapo. Atakayeshinda ndiye atakayetangazwa....

Mwaka huu hakuna habari za wasiojulikana. Ni lazima wajulikane na wameshajulikana kilichobaki ni kudhihirishwa tu kwa wakati mwafaka uliopangwa...!
 
Watanzania ni wamoja, ndo maana hata ujenzi wa misikiti na makanisa tunachangiana.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Dah nimecheka sana. Sasa hapo mkuu wetu anaanda ijuumaa moja aingie msikiti mmoja achange pesa ya kujenga kanisa.

Halafu kama vile naona kuna makanisa kama mfano ya wale walokole walee dam dam watakua wanalalamikia chini kwa chini mbona sisi hatutembelewi tukachangiwa. Tukapata airtime?! Kila siku kiki ziko Catholique, KKKT, misikitini tu?!

Wakati mwingine unaeza ukaona unajenga kumbe unabomoa.
 
jibuni swali hili "kama mnajua hatoboi, sasa woga wa nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…