IDEGENDA
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 4,505
- 5,343
Alafu mtu bado anaota ushindi kwa Lisu?Mkuu toa lema hapo hatoboi kabisaa arusha mjini..... Ingia tu kwenye page yake ya facebook utaona watu wanavyompinga waziwazi... Lema ni mzigo kwa arusha mjini....
Mimi mpaka sasa hivi sioni chadema ikivusha wabunge 10