kocha Nabi
JF-Expert Member
- Feb 1, 2022
- 709
- 1,881
sory sikuwa online kidogo.What about main campus?
Watu wengi wanajua ualimu ni duce, muce na coed wakati kuna vyuo vinapaform.fresh.Kama anapenda ualim mwache aende ualim me sijaelewa kwann alazimishe udsm kwan vyuo vengine vina shida gani elim ya bongo n ipo ivo vyuo vyote tu
Ualimu wa nini? Au anapenda njaa?? Kama issue ni Physics UD pana course nyingi kamaIt's true, mpk right now sjapata jibu ya nilichokiuliza, do you have any tips kama anaweza pata main campus pale lengo yeye ni kuja major in physics field.
Samahan mkuu , Kwan aki major Bsc.science with education (physics & chemistry) , masters hatoweza soma Msc. in physics??? Inawezekana wengi hawajaelewa lengoUalimu wa nini? Au anapenda njaa?? Kama issue ni Physics UD pana course nyingi kama
Bsc.in Phys & Chem
Dental Surgery
Geology & Geothermal
Bsc.GeoPhysics
education physics hakuna ila ni Bsc ya science in chem and physics, kigezo ni two principal passes in Chemistry and Physics. In addition anapplicant MUST HAVE passes in Chemistry, Physics andMathematics at O’ Level.Samahani wapendwa, mdogo wangu ana division two (10) PCB anataka kusoma education ( Physics and Chemistry) je anaweza kuwa admitted UDSM?
Like his brother, potentiality ya research udom is the main factor especially that anataka major in physics field. ( Research ndo kila kitu)
I think you are wrong for this, bsc science with education ipo pale ( physics and chemistry)education physics hakuna ila ni Bsc ya science in chem and physics, kigezo ni two principal passes in Chemistry and Physics. In addition anapplicant MUST HAVE passes in Chemistry, Physics andMathematics at O’ Level.
Anaweza soma!Samahan mkuu , Kwan aki major Bsc.science with education (physics & chemistry) , masters hatoweza soma Msc. in physics??? Inawezekana wengi hawajaelewa lengo
Aombe muhas bachelor of environmental Health. Akichaguliwa anaweza badili kozi akitaka, atasoma yoyote pale anayotaka hata md, cha msingi muhas admission tu.Samahani wapendwa, mdogo wangu ana division two (10) PCB anataka kusoma education ( Physics and Chemistry) je anaweza kuwa admitted UDSM?
Bora asisome kuliko kwenda ualimuKama umeridhia akasome ualimu basi kila la kheri lakini kama ndo ningekuwa mimi kwa ufaulu huo hata veterinary medicine ningeenda tena ningecompete fresh.
ukiacha hiyo kuna kozinza afya anaweza kusoma kwa points hizo.
Mpwayungu Village tia neno hapa.
Huyu atakuwa ni wewe, unataka usome kwa ufahari wa chuo ile kwamba unasoma udsm, hutaki kusoma udom, hapa unasema sijuhi kumajor physics, kwani vyuoni vingine kama udom haumajor physics?It's true, mpk right now sjapata jibu ya nilichokiuliza, do you have any tips kama anaweza pata main campus pale lengo yeye ni kuja major in physics field.
Why all this hate buddy, me ni muhitimu wa udom I know what I'm talking about, kinachoangaliwa hapa ni research basis and publications, sasa ni vjana wangapi wanaomaliza udom wako na publications kwenye reputable journals? I don't know why I'm even replying to this silly comment of yours.Huyu atakuwa ni wewe, unataka usome kwa ufahari wa chuo ile kwamba unasoma udsm, hutaki kusoma udom, hapa unasema sijuhi kumajor physics, kwani vyuoni vingine kama udom haumajor physics?
Endelea kutanga tanga na hii two yako, utabaki mtaani, ukija kushtuka hata huko unakokukimbia watakukata uje humu tena uanze kulia lia. Vijana bado mna mentalities za kwamba mtu akisoma udsm anaajiriwa haraka.
Dogo asipanic asone tu kozi za afya, mwambie aombe Nursing au oharmacy St. John pia pale SUA kuna kozi za kilimo nzuri naona wanafunzi wengi wakitok pale wanapata nafasi kwenda kufanya internship nje ya nchi kama israel,denmark na marekaniSamahani wapendwa, mdogo wangu ana division two (10) PCB anataka kusoma education ( Physics and Chemistry) je anaweza kuwa admitted UDSM?
Hata huko udsm undergraduate publication kwenye journals ni non priority. Vyuo vyote vya Tanzania publication on journals inatiliwa mkazo from postgraduate studies.Why all this hate buddy, me ni muhitimu wa udom I know what I'm talking about, kinachoangaliwa hapa ni research basis and publications, sasa ni vjana wangapi wanaomaliza udom wako na publications kwenye reputable journals? I don't know why I'm even replying to this silly comment of yours.
Publications kwenye reputable journals, are you serious? Ni lini wanafunzi wa undergraduate TZ wakawa na research za kupublish kwenye journals za kimataifa. Kuna member kakujibu zinazingatiwa kwa watu wa post-graduate.Why all this hate buddy, me ni muhitimu wa udom I know what I'm talking about, kinachoangaliwa hapa ni research basis and publications, sasa ni vjana wangapi wanaomaliza udom wako na publications kwenye reputable journals? I don't know why I'm even replying to this silly comment of yours.