Division two (10) PCB anaweza kupata ualimu UDSM?

Division two (10) PCB anaweza kupata ualimu UDSM?

What about main campus?
sory sikuwa online kidogo.
unaweza apply DUCE au MUCE direct. ila kwa uhakika apply main campus kama option na uingie website ya DUCE (dar) aU MUCE (iringa) incase umekosa Main huko kwingine lazima upate.
 
Me ningemshaur akasomee vet kiukwel iko vzur ingawa n miaka mitano na n ngumu but akitoboa anakuwa vzur kwenye kujiajir mpk kuajiriwa n simple sn kuna jamaa zang wako arusha wamesomea iyo ishu na hawajaajiriwa ila wanapiga hela hatari
 
It's true, mpk right now sjapata jibu ya nilichokiuliza, do you have any tips kama anaweza pata main campus pale lengo yeye ni kuja major in physics field.
Ualimu wa nini? Au anapenda njaa?? Kama issue ni Physics UD pana course nyingi kama
Bsc.in Phys & Chem
Dental Surgery
Geology & Geothermal
Bsc.GeoPhysics
 
Aombe kozi zote alizoshauriwa na wakuu...Afya,Vet,Ardhi,Ualimu...

Akichaguliwa vyote, uje uombe ushauri tena....Pia mimi nakupa ushauri "in advance" kozi ya afya atakayochaguliwa.

Sent from my SM-J200F using JamiiForums mobile app
 
Ualimu wa nini? Au anapenda njaa?? Kama issue ni Physics UD pana course nyingi kama
Bsc.in Phys & Chem
Dental Surgery
Geology & Geothermal
Bsc.GeoPhysics
Samahan mkuu , Kwan aki major Bsc.science with education (physics & chemistry) , masters hatoweza soma Msc. in physics??? Inawezekana wengi hawajaelewa lengo
 
Samahani wapendwa, mdogo wangu ana division two (10) PCB anataka kusoma education ( Physics and Chemistry) je anaweza kuwa admitted UDSM?
education physics hakuna ila ni Bsc ya science in chem and physics, kigezo ni two principal passes in Chemistry and Physics. In addition anapplicant MUST HAVE passes in Chemistry, Physics andMathematics at O’ Level.
 
Like his brother, potentiality ya research udom is the main factor especially that anataka major in physics field. ( Research ndo kila kitu)

Bro udom kwa physics Naona wako vzr kwasababu mm Nina mshkj wangu ninemaliza nae advance 2019 kasoma udom class of 2022 education major in physics hio hio
Hizi ajira za tamisemi walizotangaza juzi kalamba shavu yuko zake singida huko na suti yangu nilimuazima kafanyia graduation [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwahy Naona watakuwa vzr aombe tu na Uko udom
 
education physics hakuna ila ni Bsc ya science in chem and physics, kigezo ni two principal passes in Chemistry and Physics. In addition anapplicant MUST HAVE passes in Chemistry, Physics andMathematics at O’ Level.
I think you are wrong for this, bsc science with education ipo pale ( physics and chemistry)
 
Habari mkuu Sana;

Ukiangalia vija wengi wanao comment hapo juu ,wengi hawajui competition selection za vyuo!

Ushauri wangu, mtafutie vyuo vinavyotoa education physics na biology au chemistry ,aombe hatojutia,kwani akimaliza atapata ajira direct.

Apply mwenge University
 
Samahani wapendwa, mdogo wangu ana division two (10) PCB anataka kusoma education ( Physics and Chemistry) je anaweza kuwa admitted UDSM?
Aombe muhas bachelor of environmental Health. Akichaguliwa anaweza badili kozi akitaka, atasoma yoyote pale anayotaka hata md, cha msingi muhas admission tu.
 
It's true, mpk right now sjapata jibu ya nilichokiuliza, do you have any tips kama anaweza pata main campus pale lengo yeye ni kuja major in physics field.
Huyu atakuwa ni wewe, unataka usome kwa ufahari wa chuo ile kwamba unasoma udsm, hutaki kusoma udom, hapa unasema sijuhi kumajor physics, kwani vyuoni vingine kama udom haumajor physics?

Endelea kutanga tanga na hii two yako, utabaki mtaani, ukija kushtuka hata huko unakokukimbia watakukata uje humu tena uanze kulia lia. Vijana bado mna mentalities za kwamba mtu akisoma udsm anaajiriwa haraka.
 
Why all this hate buddy, me ni muhitimu wa udom I know what I'm talking about, kinachoangaliwa hapa ni research basis and publications, sasa ni vjana wangapi wanaomaliza udom wako na publications kwenye reputable journals? I don't know why I'm even replying to this silly comment of yours.
 
Samahani wapendwa, mdogo wangu ana division two (10) PCB anataka kusoma education ( Physics and Chemistry) je anaweza kuwa admitted UDSM?
Dogo asipanic asone tu kozi za afya, mwambie aombe Nursing au oharmacy St. John pia pale SUA kuna kozi za kilimo nzuri naona wanafunzi wengi wakitok pale wanapata nafasi kwenda kufanya internship nje ya nchi kama israel,denmark na marekani
 
Why all this hate buddy, me ni muhitimu wa udom I know what I'm talking about, kinachoangaliwa hapa ni research basis and publications, sasa ni vjana wangapi wanaomaliza udom wako na publications kwenye reputable journals? I don't know why I'm even replying to this silly comment of yours.
Hata huko udsm undergraduate publication kwenye journals ni non priority. Vyuo vyote vya Tanzania publication on journals inatiliwa mkazo from postgraduate studies.

Kwenye ualimu unataka kupublish nini.
 
Why all this hate buddy, me ni muhitimu wa udom I know what I'm talking about, kinachoangaliwa hapa ni research basis and publications, sasa ni vjana wangapi wanaomaliza udom wako na publications kwenye reputable journals? I don't know why I'm even replying to this silly comment of yours.
Publications kwenye reputable journals, are you serious? Ni lini wanafunzi wa undergraduate TZ wakawa na research za kupublish kwenye journals za kimataifa. Kuna member kakujibu zinazingatiwa kwa watu wa post-graduate.
Tuachane na hayo
1. Nafasi ya kusoma udsm main campus education unaweza kupata lakini jaribu kuomba na campus ya duce wako vizuri pia.
2. Usiibeze udom kwenye physics aisee mbona bachelor of physics inatolewa pale Kwaio wako vizuri tu nadhani.
3. Kwa maoni yangu st. Joseph University wako vizuri kwenye practical physics kwa sababu wale wahindi wana vifaa vingi kuliko hizi public universities (umesema unataka research based learning methodology) hope patakufaa pale.
Otherwise Goodluck.
 
Back
Top Bottom