Divisions (Madaraja) yapangwa upya vijana wajiandae vizuri. Division one mwisho 13

Divisions (Madaraja) yapangwa upya vijana wajiandae vizuri. Division one mwisho 13

Hii nzuri, hata ule wa ushenzi wa mtu ana D mbili anaenda certificate anaunga Diploma kesho mnamsikia ni mwanasheria/daktari msomi huu nao ni upuuzi.
Nchi kama SA kufika College tu bonge la sifa. Bongo siasa.
One imeshuka thamani sana.
 
Hizi division one hazina thamani kama zamani...Imekua cheap sana.Juzi nashangaa kila mtu anampongeza mtoto wake divion one - hee! has it become so cheap?? Tusijekuwa tunatengeneza mazingira ya watoto kuonekana wana faulu vizuri kumbe kiuhalisia ni tofauti
 
Pa1 na mabadiliko hayo, bado matokeo yangu yatabaki ktk daraja lile lile. [emoji122][emoji122]
Naunga mkono hoja.
 
Heading yako siielewi!!? Hayo ni maamuzi yako (ushauri) au ni maamuzi ya Serikali?
 
Back
Top Bottom