Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
- Thread starter
-
- #21
One imeshuka thamani sana.Hii nzuri, hata ule wa ushenzi wa mtu ana D mbili anaenda certificate anaunga Diploma kesho mnamsikia ni mwanasheria/daktari msomi huu nao ni upuuzi.
Nchi kama SA kufika College tu bonge la sifa. Bongo siasa.
Kuanza college certificate angalau mtu awe na D flat. Heshima ya elimu iwepo.One imeshuka thamani sana.
Anapatahivi D mbili nae anambulia cheti
Kabisa mkuuKuanza college certificate angalau mtu awe na D flat. Heshima ya elimu iwepo.
Hali ishakuwa mbaya, udom medicine inataka one ya 6 wakati miaka ya nyuma mpaka div 2 ya 12 walikuwa wanaenda.Huko mbeleni itakuwa shida sana.