Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Ahamie kwao wakati chama kimekufa? Una akili timamu kweli wewe? Zinakutosha?Chadema watakuja kulialia kwa nn hajahamia kwao 😂
Hazinitoshi, ntatumia akili zako.Ahamie kwao wakati chama kimekufa? Una akili timamu kweli wewe? Zinakutosha?
Umeuza akili zako ukanunua makande na samaki!?Hazinitoshi, ntatumia akili zako.
Akili zangu nazitumia kupigia nyeto tuuUmeuza akili zako ukanunua makande na samaki!?
Unagonga nyetuo mpaka mikono imepinda utadhani uligongwa na pikipiki aina ya batavooz.Akili zangu nazitumia kupigia nyeto tuu
Kweli hazikutoshi. Sitashangaa kama unachukua masters badala ya kusoma?Hazinitoshi, ntatumia akili zako.
Tayari ana masters ya unywaji wa Pan Masters.Kweli hazikutoshi. Sitashangaa kama unachukua masters badala ya kusoma?
Kabisa. Ati hawa nao ni wapiga debe wa ccm kwenye mitandao. Ukiwa chawa unakuwa mjinga sanaTayari ana masters ya unywaji wa Pan Masters.
Wewe mpumbavu umedandia kwa mbele huku ukidandiwa kwa nyuma, huyo alitoka Chadema baada ya kufyekwa,ccm wakaiokota, ikaenda kupiga blah blah huko kwa miaka mitano ndiyo wakagundua kuwa waliokota gasasha, Lobora ni moja kati ya wale malayer wa kisiasa, akikatwa huko chauma atahamia updp sasa, maana vyama hivi vikubwa vyote ameshapita.Chadema watakuja kulialia kwa nn hajahamia kwao 😂
Chama cha ukomboziAliyekuwa Diwani wa Kata ya Themi jijini Arusha kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Petro Lobora, amejiunga rasmi na Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) na kukabidhiwa kadi ya uanachama sambamba na kuchukua fomu ya kuwania udiwani katika kata hiyo aliyoiwakilisha awali kupitia CCM.
Tukio hilo limefanyika Agosti 16, 2025, katika Ofisi za CHAUMMA zilizopo Kata ya Moivo wilayani Arumeru mkoani Arusha ambapo Lobora ameeleza kuwa amevutiwa na sera za chama hicho na anakiamini kama mbadala sahihi wa CCM. Ameongeza kuwa uamuzi wake umetokana na dhamira ya kuendelea kuwatumikia wananchi wa Themi ambao, kwa mujibu wake, bado wanamhitaji ili awaletee maendeleo ya kweli.
Uhamaji wa Lobora unakuja baada ya jina lake kutopitishwa na CCM kwenye mchakato wa uteuzi wa wagombea wa udiwani, ambapo chama hicho kilimteua Melace Kinabo kupeperusha bendera ya CCM katika Kata ya Themi kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba. Lobora amedia kutotendewa haki katika kura za maoni za CCM akidai hata barua yake ya malalamiko kwenda ngazi ya juu haijafanyiwa kazi.
Jambo TV ilimtafuta Katibu wa CCM wilaya ya Arusha, Timothy Sanga juu ya malalamiko yaliyotolewa na Lobora, hata hivyo jitihada zetu ziligonga mwamba kutokana na simu kadhaa zilizopigwa kwake kutopata majibu na nyingine kutopokelewa mpaka habari hii inachapishwa- Jitihada za kumtafuta bado zinaendelea.
Lobora aliwahi kujipatia umaarufu mitandaoni baada ya kulia hadharani katika kikao cha Baraza la Madiwani, akimuomba aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda, kugombea ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini, huku akitoa akimtaja aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo, Mrisho Gambo kama kikwazo cha maendeleo kwa wananchi wa Arusha.
Mpumbavu ni ww na wazazi wakoWewe mpumbavu umedandia kwa mbele huku ukidandiwa kwa nyuma, huyo alitoka Chadema baada ya kufyekwa,ccm wakaiokota, ikaenda kupiga blah blah huko kwa miaka mitano ndiyo wakagundua kuwa waliokota gasasha, Lobora ni moja kati ya wale malayer wa kisiasa, akikatwa huko chauma atahamia updp sasa, maana vyama hivi vikubwa vyote ameshapita.
Bado hujasemaKabisa. Ati hawa nao ni wapiga debe wa ccm kwenye mitandao. Ukiwa chawa unakuwa mjinga sana
Sio kuchukua tuu, namuua kabisa huyo mastersKweli hazikutoshi. Sitashangaa kama unachukua masters badala ya kusoma?
Uboo wangu hapa umekuwa wakijani kutokana na nyeto 🔥Unagonga nyetuo mpaka mikono imepinda utadhani uligongwa na pikipiki aina ya batavooz.
Badilisha unywaji.Anza kunywa mbege kwa mkate.Sio kuchukua tuu, namuua kabisa huyo masters