GE2025 Diwani aliyemlilia Paul Makonda atimkia CHAUMMA

GE2025 Diwani aliyemlilia Paul Makonda atimkia CHAUMMA

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Wewe mpumbavu umedandia kwa mbele huku ukidandiwa kwa nyuma, huyo alitoka Chadema baada ya kufyekwa,ccm wakaiokota, ikaenda kupiga blah blah huko kwa miaka mitano ndiyo wakagundua kuwa waliokota gasasha, Lobora ni moja kati ya wale malayer wa kisiasa, akikatwa huko chauma atahamia updp sasa, maana vyama hivi vikubwa vyote ameshapita.
Hana akili za kukuelewa mkuu. Bora ungemwekea nyimbo ya singel angekuelewa ndiyo saizi YAKE
 
Sio kuchukua tuu, namuua kabisa huyo masters
Watu wanajadili mambo serious wewe unaleta upimbi ili kupoteza watu. Hivi mtu mwenye akili timamu anaweza kujadili kuhusu punyeto kweli? Yaani ukikaa peke yako nawe una amani kwamba ni binaadamu? Jifikirie mkuu. Kusoma shule za yale mabasi ya njano kuna shida sana kwa watoto. Usikute nawe ni UVCCM ?
 
Ety mambo ya msingi 😂
Mambo ya msingi ndo mnakuja kuyajadili humu JF, em kalombwe huko ulipozoea
 
Back
Top Bottom