GE2025 Diwani aliyemlilia Paul Makonda atimkia CHAUMMA

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hana akili za kukuelewa mkuu. Bora ungemwekea nyimbo ya singel angekuelewa ndiyo saizi YAKE
 
Sio kuchukua tuu, namuua kabisa huyo masters
Watu wanajadili mambo serious wewe unaleta upimbi ili kupoteza watu. Hivi mtu mwenye akili timamu anaweza kujadili kuhusu punyeto kweli? Yaani ukikaa peke yako nawe una amani kwamba ni binaadamu? Jifikirie mkuu. Kusoma shule za yale mabasi ya njano kuna shida sana kwa watoto. Usikute nawe ni UVCCM ?
 
Ety mambo ya msingi πŸ˜‚
Mambo ya msingi ndo mnakuja kuyajadili humu JF, em kalombwe huko ulipozoea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…