Tetesi: Diwani Athumani au Wambura Camilius mmoja anaweza kuwa IGP, Selemani Mombo kwenda TISS?

Status
Not open for further replies.
Una mawazo ya ujima, ushamba na generally backward.
 
NARUDIA TENA DG WA TISS MTARAJIWA NI HAMDUNI. SIKU HIZI KUNA KAUTARATIBU FLANI USIO RASMI LAZIMA UWE BOSS WA TAKUKURU KWANZA KABLA UJAWA BOSS WA TISS.

SIWEZI KUELEZA KIUNDANI ZAID KWASABABU YA VIAPO NILIVYOKULA HUKU NIKINYOOSHEWA BASTOLA.
Hahahaa!
 
Acha usanii.
Wakati mama anaapishwa, alisindikizwa Ikulu na Jenerali wa JWTZ, wengine wote walipigwa ganzi.
 
Acha usanii.
Wakati mama anaapishwa, alisindikizwa Ikulu na Jenerali w JWTZ, wengine wote wapigwa ganzi.
kwanza upo nje ya nilichokisema/maanisha kwa 100%.....


nikija kwa mada yako...
baada ya kuapishwa?? unaijua tofauti ya ulinzi na kusindikiza?? Tanzania haitakaa raisi akalindwa na Mtu wa TPDF...

ukweli mchungu ni kwamba kwa TISS, TPDF ni wadogo sanaaaa saaaanaa linapokuja swala la ulinzi wa viongozi yani 15% ya uwezo hawafiki.. NA MABEYO ANALIJUA HILI

NAWASILISHA
 
NARUDIA TENA DG WA TISS MTARAJIWA NI HAMDUNI. SIKU HIZI KUNA KAUTARATIBU FLANI USIO RASMI LAZIMA UWE BOSS WA TAKUKURU KWANZA KABLA UJAWA BOSS WA TISS.

SIWEZI KUELEZA KIUNDANI ZAID KWASABABU YA VIAPO NILIVYOKULA HUKU NIKINYOOSHEWA BASTOLA.
Hii ilitokea pale miti mitatu mbweni kwenye kile kipori au pale jirani na kanisa la Roma Mbuyuni alipopigwa mwalimu Nyerere mtama?
 
TISS haiwezi kuwa kila kitu na JWTZ haiwezi kuwa kila kitu.. kuna mgawanyoa wa kazi na kiutendaji
 
Acha hizoo.
Polisi wengi ni dhaifu mno kiutendaji.
Officer ngazi ya DCI au ACP hajui kuisimamia PGO, utamwita polisi huyo au mgambo wa kamata kamata tu.
 
Kumbe story behind imekupita mkuu.
Pole.
 

Mkuu wa jeshi la Polisi (IGP) ni zamu ya Zanzibar sasa.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…