Tetesi: Diwani Athumani au Wambura Camilius mmoja anaweza kuwa IGP, Selemani Mombo kwenda TISS?

Status
Not open for further replies.
Hii ilitokea pale miti mitatu mbweni kwenye kile kipori au pale jirani na kanisa la Roma Mbuyuni alipopigwa mwalimu Nyerere mtama?
Yani wee acha tu yani unakula kiapo at a knife point. Sharp blades are held against your throat.
 
Why,tell me.
Watu wenye upeo huteua vichwa si jinsia.
Head wa MI5 Uingereza aliwahi kuwa mwanamke.

"Dame Stella Rimington DCB (born 13 May 1935) is a British author and former Director General of MI5, a position she held from 1992 to 1996. She was the first female DG of MI5, and the first DG whose name was publicised on appointment. In 1993, Rimington became the first DG of MI5 to pose openly for cameras at the launch of a brochure outlining the organisation's activitie"
Ref : Wikipedia.

Na kama hufahamu MI5 ni nino:

"The Security Service, also known as MI5 (Military Intelligence, Section 5),[3] is the United Kingdom's domestic counter-intelligence and security agency, and is part of its intelligence machinery alongside the Secret Intelligence Service (MI6)"
 
Military intelligence hawezi kufit kuwa director wa tiss , wao wanachunguza mambo ya kijeshi halafu umlete kufuatilia raia kweli?
 
Hizi nafasi wazitangaze watu washindane. Utakuta tumepata mtu mzuri sana ambaye hatukutegemea.
utendaji unaharibiwa na hizi kazi za kupeana.
Ni kweli wananchi wawapigie kura[emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Jinsia ina uhusiano wa karibu,mkuu,mwanamke ni dhaifu sana, easy to cheat and manipulate.Wewe humuoni mkeo alivyo,labda kama huna mke.Hivi unamuona yuko sawa kweli,kama unamuona yuko sawa, basi wewe una shida au ni agent.
 
Wambura hawezi kupewa u-IGP kutokana na kutoka mkoa mmoja na IGP anayemaliza muda wake.

Wambura anaweza akaibukia Tiss kama atapita huu mtihani aliokuwa nao sasa.

IGP mpya ni kamanda wa polisi wa mkoa fulani kanda ya ziwa na ambaye si maarufu masikioni mwa wengi. Mtashangazwa atakapotangazwa.
 
Hizi nafasi hawatakiwi kuangalia popularity ya mtu,,,, wala undugu...

Ni nafasi nyeti za kitendaji,, zinahitaji watu makini sana...

Acha tujipe muda.
 

Naamini Huna Taarifa sahihi ya unachoongelea? Diwani kawazidi watangulizi wake kwa maana gani ?

DG wa MSD kafanya vema kwa maana gani ? Amepunguza wizi upi huo ? Ameongeza upatikanaji wa Dialysis ? Mnapotosha umma.!Nasema tena huyo JWTZ wako ni worst DG kuwahi kutokea, ukitaka usahihi kawaulize wafanyakazi wa Msd na Sio porojo za mtandao.
Ni muhimu kuchukua kiongozi aliyekuwa kwenye mfumo kuwa msimamizi wa taasis
 
NARUDIA TENA DG WA TISS MTARAJIWA NI HAMDUNI. SIKU HIZI KUNA KAUTARATIBU FLANI USIO RASMI LAZIMA UWE BOSS WA TAKUKURU KWANZA KABLA UJAWA BOSS WA TISS.

SIWEZI KUELEZA KIUNDANI ZAID KWASABABU YA VIAPO NILIVYOKULA HUKU NIKINYOOSHEWA BASTOLA.

Wewe huwezi kuwa miongoni.
Ila DG wa TISS hawezi kuwa Hamduni, Na wakitaka wampe ... akumbane na ya Msuya.
Halafu huo utaratibu wako ni wa ku katoto, hauna hoja
 
Kwa mfumo wa nchi hii katiba yake na desturi za kiutawala it doesn't make a big difference who is in charge ila inategemea sera na itikadi za mkulu kama akiwa zuzu wote watafyata mkia so be it Nyakolosirro or Diwani hakuna kitu natarajia
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…