Yani wee acha tu yani unakula kiapo at a knife point. Sharp blades are held against your throat.Hii ilitokea pale miti mitatu mbweni kwenye kile kipori au pale jirani na kanisa la Roma Mbuyuni alipopigwa mwalimu Nyerere mtama?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yani wee acha tu yani unakula kiapo at a knife point. Sharp blades are held against your throat.Hii ilitokea pale miti mitatu mbweni kwenye kile kipori au pale jirani na kanisa la Roma Mbuyuni alipopigwa mwalimu Nyerere mtama?
Why,tell me.Una mawazo ya ujima, ushamba na generally backward.
Watu wenye upeo huteua vichwa si jinsia.Why,tell me.
Alipoingia tu, diwani, wasiojulikana wakapotea[emoji1745]Diwani roho mbaya kwelikweli.
Kuna hotuba moja alitufurahishaga sana sie wapinzani[emoji1]Wewe kila cheo unataka apewe Suzy!
Military intelligence hawezi kufit kuwa director wa tiss , wao wanachunguza mambo ya kijeshi halafu umlete kufuatilia raia kweli?Hawa ma pai wanaotokea polisi hamna kitu wote , kwa sasa iwe zamu ya military inteligence maana weledi wao siutilii shaka kabisa na nadhani hawajawahi kupepesa macho, hata wakati wa jiwe kuna wengi walijitahidi kujiweka mbali na siasa za maji taka na kutaka nchi irudi kwenye mstari, lakini ndio hivyo hawakuweza maana jiwe lilikua jiwe kweri kweri
Ni kweli wananchi wawapigie kura[emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Hizi nafasi wazitangaze watu washindane. Utakuta tumepata mtu mzuri sana ambaye hatukutegemea.
utendaji unaharibiwa na hizi kazi za kupeana.
labda rushwa hafiki hana sifa hioRPC pamoja na marupurupu anafika milioni 7?
[emoji1][emoji1],mkuu uko stressed au?Hapo sawa
Jinsia ina uhusiano wa karibu,mkuu,mwanamke ni dhaifu sana, easy to cheat and manipulate.Wewe humuoni mkeo alivyo,labda kama huna mke.Hivi unamuona yuko sawa kweli,kama unamuona yuko sawa, basi wewe una shida au ni agent.Watu wenye upeo huteua vichwa si jinsia.
Head wa MI5 Uingereza aliwahi kuwa mwanamke.
"Dame Stella Rimington DCB (born 13 May 1935) is a British author and former Director General of MI5, a position she held from 1992 to 1996. She was the first female DG of MI5, and the first DG whose name was publicised on appointment. In 1993, Rimington became the first DG of MI5 to pose openly for cameras at the launch of a brochure outlining the organisation's activitie"
Ref : Wikipedia.
Na kama hufahamu MI5 ni nino:
"The Security Service, also known as MI5 (Military Intelligence, Section 5),[3] is the United Kingdom's domestic counter-intelligence and security agency, and is part of its intelligence machinery alongside the Secret Intelligence Service (MI6)"
Tunataka IGP mkali kama siro ili nchi inyooke[emoji1745]Haiwezekani Wambura kuwa IGP wanatoka sehemu moja na Sirro.labda kwa baadae.
Nimekupa mfano tosha kuzindua upeo wako.Jinsia ina uhusiano wa karibu.Wewe humuoni mkeo alivyo,labda kama huna mke.Hivi unamuona yuko sawa kweli.
Nope j edgahoover alikuwa FBI (criminal) labda useme Allen DullesHuyu mzena ndio J edgar Hoover wa bongo
Nadhani hata CIA wana Boss mwana mama Kwa Sasa...Nimekupa mfano tosha kuzindua upeo wako.
Kipindi cha Trump alikuwa mwanadada,, Biden kaweka mtu wake,, kila Rais huingia na timu yakeNadhani hata CIA wana Boss mwana mama Kwa Sasa...
Kwa
Mimi sioni tatizo kuwatumia hao jwtz iwapo wana taaluma husika. Ingekuwa mtu anapelekwa kuongoza hospital ya Muhimbili halafu sio Dr hapo sawa. Lakini maadam taaluma anayo anafanya tu, hata awe ni Ofisa wa Wanyama pori, Magereza au Zimamoto anaweza kuongoza MSD. Kuhusu Diwani Athumani kukumbana na upinzani wa chini kwa chini ni sababu ya watu WENYE MENTALITY kama yako kuishi kwa MAZOEA , so far huyohuyo Diwani ameonyesha uwezo mkubwa hata kuzidi baadhi ya watangulizi wake.
Hata hapo MSD huyo jwtz ni kati ya wakurugenzi waliofanya vizuri kushinda watangulizi wake hasa suala la vifaa vya DIALYSIS na kuzuia wizi. Pia tangu MSD inaanzishwa kila Mkurugenzi amekuwa akilaumiwa na kutumbuliwa, je hao wote walitokea jwtz au Polisi
Nchi yetu wengi wanaishi kwa mazoea sana. Tunatakiwa kuangalia nje ya Box. Nendeni huko duniani ndipo mtafunguliwa macho, unakuta mtu ni Afisa wa Police (engineer) lakini ni Meneja katika kiwanda cha chuma.
Mtu apimwe kwa weledi na uaminifu lakini sio alipotokea.
NARUDIA TENA DG WA TISS MTARAJIWA NI HAMDUNI. SIKU HIZI KUNA KAUTARATIBU FLANI USIO RASMI LAZIMA UWE BOSS WA TAKUKURU KWANZA KABLA UJAWA BOSS WA TISS.
SIWEZI KUELEZA KIUNDANI ZAID KWASABABU YA VIAPO NILIVYOKULA HUKU NIKINYOOSHEWA BASTOLA.