Tetesi: Diwani Athumani au Wambura Camilius mmoja anaweza kuwa IGP, Selemani Mombo kwenda TISS?

Status
Not open for further replies.
Ramadhani kingai inamfaa hiyo nafasi ya IGP
 
Wewe huwezi kuwa miongoni.
Ila DG wa TISS hawezi kuwa Hamduni, Na wakitaka wampe ... akumbane na ya Msuya.
Halafu huo utaratibu wako ni wa ku katoto, hauna hoja
Huo uthubutu wa kunipinga umeutoa wapi? Huo ujasiri. Labda hunifaham vizuri. Nawatuma kwako vijana wangu Rama na Frenki. Wape ushirik7ano.
 
Megalodon I doubt huenda wewe ni Mhanga wa either huko TISS au MSD ndio maana UNAHASIRA KUPINDUKIA. Comments zako kwenye huu mjadala is too emotional and aggresively. Yaani ni rahisi sana mtu kujua kilichoko ndani yako. Huenda:-
1. Uliondolewa kitengo fulani
2. Mrija wa upigaji umekata
 
Humu jamvini watu mna vituko hahaha
Hahahaaa. Acha tu. Waanzishe baraza la kuwahoji kama lile la Uubgereza watu watoe nyongo.
Maana hata wabunge huwa hawatuwakilishi wanaenda na mawazo yao bungeni
 
M15 ni kama tu FBI inahusika na ukasanyaji wa taarifa za ndani za kiitelinjesia, huwezi fananisha hiyo MI5 na MI6 maana ni wadogo mno.

Ukija kwenye taasisi yetu unaona kurugenzi ya ndani na nje zote ziko chini ya TISS hivyo inahitaji mwanamme hasa mwenye koromeo kuiendesha achana na hawa wanawake ambao hawana vifua, wakitekenywa kidogo tu na wanaume wao wanaropoka kila kitu.
 
Mkuu pamoj na kukiheshimu sana kitengo hetu, hukitendei haki kulilinganisha na MI5 au MI6, au hata FBI.
Musuli wa kitenga chochote ni fweza ya kuchezea, na uwezo wa nchi.
Kulinganisha MI5 na kitengo chetu n sawasawa na kulinganisha jeshi zima na police post.
 
Una dharau sana ndugu, una uhakika gani kuwa kitengo hakina fedha?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…