Tetesi: Diwani Athumani au Wambura Camilius mmoja anaweza kuwa IGP, Selemani Mombo kwenda TISS?

Status
Not open for further replies.
Wewe huwezi kuwa miongoni.
Ila DG wa TISS hawezi kuwa Hamduni, Na wakitaka wampe ... akumbane na ya Msuya.
Halafu huo utaratibu wako ni wa ku katoto, hauna hoja
Nakubaliana na wewe Mamlaka za uteuzi huwa zinaanguka sana, huwa haiingilini akili kuteua mtu nje aje aongoze chombo fulani ambapo ndani ya chombo husika kuna watu wamekuliamo na wanajua ABC,s za mifumo ya kiutendaji kwa ngazi zote.

Mfano ni huyu DIWANI katolewa huko takukuru kapelekwa TISS ukiangalia huyu bwana hakukulia ndani ya TISS hivyo kuna baadhi ya maamuzi atakuwa anayafanya kumbe ndivyo anaharibu waliokulia ndani wanamuacha aharibu zaidi.

Huwa inapendeza sana hata hawa wakurugenzi ama wakuu wa idara katika taasisi za umma wawe wanatoka huko huko hakuna haja ya kutoa mtu nje na kumpa nafasi na kuwaacha waliokulia ndani, nje ya kuwavunja morali waliokulia ndani pia unajenga chuki ndani ya taasisi ama chombo husika maana inakuwa kama dharau kwao kwamba hawajui kitu.
 
Diwani hawezi kuchaguliwa kuwa IGP

Hakuna mkuu wa TISS anayeweza kuwa IGP kwa sababu kiseniority polisi ni seniour kwa usalama.

IGP ni cheo kikubwa kuliko ukuu wa TISS.

Daah aiseeeeee
Toa upuuzi wako huo, kwa hiyo DIWANI alivyotolewa takukuru na kuletwa TISS kama kigezo cha cheo asingethubutu kupelekwa huko TISS.

Na akilini kwako kaa ukijua DIWANI ni askari polisi sema alikuwa kificho tu, hivyo akipelekwa huko nategemea atafanya vizuri japo apunguze kununa nuna hovyo polisi hawapendi hayo mambo.
 
Ni kweli mkuu.
Mfano rahisi ni miaka kadhaa iliyopita, wengine hawakumbuki.
Alipokuwa anastaafu CDF nafikiri Gen Kyaro kama sikosei, Uongozi wa awamu ya Pili ulitaka kumteua Rashid Makame wa JKT kuwa CDF mpya.
Karibia mbingu zianguke!!
 
Hawezi kuwa IGP.

Kumbuka katoka polisi akiwa na cheo chini ya CP mzee.

Hivyo itabidi apande vyeo kisha ndio anaweza kuupata huo u IGP.

Hawezi tu direct kutoka MKub2a wa Tiss Akaenda kuwa polisi.
Linashindikana vipi
Hawezi kuwa IGP.

Kumbuka katoka polisi akiwa na cheo chini ya CP mzee.

Hivyo itabidi apande vyeo kisha ndio anaweza kuupata huo u IGP.

Hawezi tu direct kutoka MKub2a wa Tiss Akaenda kuwa polisi.
Mkuu DIWANI katoka polisi aliwa na cheo gani?
 
Kwa kweli Kaganda anafaa kuwa IGP
tatizo aina ya misimamo yake haitakiwi kwa sasa, kwa hii trend inavyoenda inatakiwa kifanyike kila kinachowezekana kuhakikisha mtu anabaki magogoni kwa gharama yoyote ile regardless what hata kama ni kwa kuweka kila oil chafu kwenye position muhimu ili ndoto za mtu na genge fulani zitimie tu
 
Huyo sheikhe ndio ana nafasi kubwa zaidi.
 
Una dharau sana ndugu, una uhakika gani kuwa kitengo hakina fedha?
Kama hajui details za fedha kwenye kitengo, basi hana dharau isipokuwa hajui, ni mbumbumbu tu au kalaghabaho kwa maana nyingine.

Mimi sasa kwenye post hii nakurudia wewe! Usiwe unakuwa na tabia ya kuwatuhumu watu kuwa wana dharau, ni tabia ya ajabu sana. Huyu ni mjinga hajui, kwa namna wewe ulivyotoa maelezo yako hapa, na possibly you are far superior than him; unawezaje sasa kumtuhumu kuwa ana dharau? Mweleweshe
 

Hiyo ndiyo hoja ya Msingi.

Mtu aliyekulia ndani na ikabainika anauwezo, akipewa nafasi ni anaenda kuanza kaZi straightforward.

Mtu aliyekulia nje , anapaswa kujifunza na ni rahisi kuhujumiwa , amekuja kwenye level ya Ukurugenzi , hivyo technical nyingi hazijui .

Kuna maamuzi mengine unatakiwa kuangalia culture organisation na sio kuangalia Sheria inasema nini. Tunafeli kwa Sababu nyingi sana
 
Wakati fulani taasisi ikioneka imejijengea utamaduni wa hovyo ni lazima aletwe mtu toka nje (anaweza kuwa mwenzao) ili kuketa culture change.

Tena kuna muda hua ni lazima kubadili uongozi wote wa taasisi. Kwa kilichokuwa kinaendelea wakati wa mchungaji ilikuwa ni lazima aletwe wa nje.
 

Je baada ya mchungaji kuna any positive change by far ?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…