nyboma
JF-Expert Member
- Aug 29, 2021
- 2,308
- 7,366
Nakubaliana na wewe Mamlaka za uteuzi huwa zinaanguka sana, huwa haiingilini akili kuteua mtu nje aje aongoze chombo fulani ambapo ndani ya chombo husika kuna watu wamekuliamo na wanajua ABC,s za mifumo ya kiutendaji kwa ngazi zote.Wewe huwezi kuwa miongoni.
Ila DG wa TISS hawezi kuwa Hamduni, Na wakitaka wampe ... akumbane na ya Msuya.
Halafu huo utaratibu wako ni wa ku katoto, hauna hoja
Mfano ni huyu DIWANI katolewa huko takukuru kapelekwa TISS ukiangalia huyu bwana hakukulia ndani ya TISS hivyo kuna baadhi ya maamuzi atakuwa anayafanya kumbe ndivyo anaharibu waliokulia ndani wanamuacha aharibu zaidi.
Huwa inapendeza sana hata hawa wakurugenzi ama wakuu wa idara katika taasisi za umma wawe wanatoka huko huko hakuna haja ya kutoa mtu nje na kumpa nafasi na kuwaacha waliokulia ndani, nje ya kuwavunja morali waliokulia ndani pia unajenga chuki ndani ya taasisi ama chombo husika maana inakuwa kama dharau kwao kwamba hawajui kitu.