Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
CHADEMA wana hazina kubwa hapoNa anajua sana yule Mtu.... Mungu azidi kumuweka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CHADEMA wana hazina kubwa hapoNa anajua sana yule Mtu.... Mungu azidi kumuweka
Umri? Kukesha usiku kucha ataweza?Naunga mkono kaganda ale cheo hicho mama anafaa kwa ukuda
Haiwezekani Wambura kuwa IGP wanatoka sehemu moja na Sirro.labda kwa baadae.
Hatimae kanasa lazma apelekwe ubalozini kumpa IGP itakuwa kosa jingine kubwa mno kwa awamu hii.Diwani hafai kwa lolote
Kukufanyia nini kibaya?Diwani roho mbaya kwelikweli.
Suzan namfahamu tangia 1993 wakati najiunga Chadema tulikuwa wote chuo.Kale kichwani hakuna kitu.
Ujue vitoto vya wakubwa vingi ni programmed,hakana upeo wa kuchakata mambo magumu.
Kama tulivyojiita John wakati uliopitaSahivi ni kujiita Mohamed au Athumani
Huyo jamaa yako unayemkubali kama atafanikiwa kukomesha wizi wa polisi, nitaungana nawe. Ile tabia ya polisi ya "ndugu yako ana makosa tunamsaidiaje?" Ife.Diwani kwa nini asiachwe akamalizima muda wake hapo? Wambura akiwa IGP baada ya IGP Sirro kumaliza muda wake litakuwa jambo zuri binafsi na mkubali huyu mtu ni mtendaji mzuri anaye ongozwa na hekima.
Huyo jamaa yako unayemkubali kama atafanikiwa kukomesha wizi wa polisi, nitaungana nawe. Ile tabia ya polisi ya "ndugu yako ana makosa tunamsaidiaje?" Ife.
Kumbe yule kombe alikua luteni jenerali na mkuu wa usalama wa taifa na bado akauwawa kwa kudhaniwa mwizi wa magari.
Hii ndio nchi yetu tanganyika.
Sent using Jamii Forums mobile app
mhhh...anauwezo wa kukemea walio chini yake? au mtekeleza majukumu tuIGP mpya anafaa Hamduni wa takukuru
Uongozi ni kipawa na sio ukali pekee.mhhh...anauwezo wa kukemea walio chini yake? au mtekeleza majukumu tu