Diwani Athumani Msuya atenguliwa Ikulu

TISS, TAKUKURU, TASAF, Utawala bora ziko chini ya Katibu Mkuu Ikulu. Ilikuwa promotion siyo demotion
Ndiomana nilimwambia yule jamaa kuwa "if you've walked on the white corridors, don't talk". Hawaelewi hilo mkuu ulilolisema na nashukuru kwa kuwafafanulia
 
Yule ni Rais ndio anamtewa na Rais ndio Ana mamlaka ya kumfuta kazi mbona mnachukulia simple Sana Rais wa inchi hivyo
 
Nilichogundua mtu watu wengi kwa katiba yetu hajui mamlaka ya Rais wa nchi wao wanadhani usalama ndio wenye mamlaka na nchi na kwamba nduo wenye nguvu kumzidi rais
 
Mitano tena kwa mama utake usitake utaongezewa tu hakuna namna, na nyimbo za tenzi juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…