Diwani Athumani Msuya atenguliwa Ikulu

Diwani Athumani Msuya atenguliwa Ikulu

TISS, TAKUKURU, TASAF, Utawala bora ziko chini ya Katibu Mkuu Ikulu. Ilikuwa promotion siyo demotion
Ndiomana nilimwambia yule jamaa kuwa "if you've walked on the white corridors, don't talk". Hawaelewi hilo mkuu ulilolisema na nashukuru kwa kuwafafanulia
 
Ajabu Rais bado anaendeleza tabia yake ya kuteua na kutengua baada ya muda mrefu, inaonekana mteuliwa amekataa uteuzi kitu ambacho kinaonesha Rais huteua wasaidizi wake bila kuwasiliana nao kabla, au Rais ndie ameona hana sababu ya kuendelea na Diwani Athumani kama msaidizi wake.

Sababu ya kwanza naamini ndio inaelekea kuwa kubwa zaidi, kwani ni tabia kwetu kuzichukulia hizi teuzi kama kulamba asali, hivyo kwa akili ya kawaida inategemewa mteuliwa lazima akubali nafasi anayopewa, kumbe kwa wengine hali inaweza kuwa tofauti.

Naandika hayo nikiamini kwamba, kama Rais angekuwa na nia ya kumuacha Diwani kwenye uteuzi wake ili asafishe serikali yake, basi asingemteua kabisa, lakini kitendo cha kumteua na kumuacha baada ya muda mfupi, kinaonesha something is not right somewhere...

Inawezekana kabisa Diwani aliona post mpya aliyopewa ni kama ameshushwa cheo, hivyo akaona hana sababu ya kuendelea na hiyo nafasi mpya, dawa ni kumuandikia mamlaka ya uteuzi na kumjulisha juu ya uamuzi wake, akakubaliwa ombi lake.

Samia hana nongwa, au kama ule uteuzi ulikuwa ni kumtega Diwani ili ajikaange kwa mafuta yake mwenyewe, ajiondoe kwenye serikali ya Samia kwa kuona amepewa cheo kidogo, basi hapo Samia atakuwa amezicheza karata zake vizuri sana.
Yule ni Rais ndio anamtewa na Rais ndio Ana mamlaka ya kumfuta kazi mbona mnachukulia simple Sana Rais wa inchi hivyo
 
Si rahisi kihivyo, wengi wao huwa wanakuwa na compromat zao kwa mfumo wa dead hand.


Kuna mmoja aliwahi ondolewa na Magu, ile inatangazwa tu nyumbani kwake pakavamiwa,wavamizi waliiba kila document na computer zote huko Mbweni,baadae akarudishwa zinazomhusu tu
Nilichogundua mtu watu wengi kwa katiba yetu hajui mamlaka ya Rais wa nchi wao wanadhani usalama ndio wenye mamlaka na nchi na kwamba nduo wenye nguvu kumzidi rais
 
FltVyYZXoAIMa8B

Flkc9-AWYAEV2F1
 
Back
Top Bottom