ilore
JF-Expert Member
- Aug 5, 2022
- 963
- 1,248
Mabadiliko ya kawaida tu Rais wa nchi anapokea taarifa za nchi nzima Everytime kwa hakuna kitu cha ajabu hapoNahisi huko kwenye makorido ya ikulu Kuna kitu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mabadiliko ya kawaida tu Rais wa nchi anapokea taarifa za nchi nzima Everytime kwa hakuna kitu cha ajabu hapoNahisi huko kwenye makorido ya ikulu Kuna kitu
Hakuna mtu mwenye uwezo wa kukata appointment ya Rais especially kwa cheo chake kileItakuwa jamaa kachomoa. Huu ndio uanaume. Huwezi kuwa DGIS kisha ukakubali kwenda kuwa Katibu Ikulu. Kudharirishana na upuuzi tu.
Ndiomana nilimwambia yule jamaa kuwa "if you've walked on the white corridors, don't talk". Hawaelewi hilo mkuu ulilolisema na nashukuru kwa kuwafafanuliaTISS, TAKUKURU, TASAF, Utawala bora ziko chini ya Katibu Mkuu Ikulu. Ilikuwa promotion siyo demotion
Ngoja kuna jamaa namuona anaandika kwa muda mrefu ngoja tuone labda ni huyo alie tenguliwaUzi unatembea kwa speed.
Mbona tungekuwa na kina mzee kitine,mwang'onda,othmani Rashid mbona hawakupotea achane mawazo mgandoAppointments za hawa jamaa wakishaondoka au kuondolewa kwenye wadhifa, inakuwa very sensitive.
Wanaweza hata kupotea!
Wana siri nyingi mno.
Yule ni Rais ndio anamtewa na Rais ndio Ana mamlaka ya kumfuta kazi mbona mnachukulia simple Sana Rais wa inchi hivyoAjabu Rais bado anaendeleza tabia yake ya kuteua na kutengua baada ya muda mrefu, inaonekana mteuliwa amekataa uteuzi kitu ambacho kinaonesha Rais huteua wasaidizi wake bila kuwasiliana nao kabla, au Rais ndie ameona hana sababu ya kuendelea na Diwani Athumani kama msaidizi wake.
Sababu ya kwanza naamini ndio inaelekea kuwa kubwa zaidi, kwani ni tabia kwetu kuzichukulia hizi teuzi kama kulamba asali, hivyo kwa akili ya kawaida inategemewa mteuliwa lazima akubali nafasi anayopewa, kumbe kwa wengine hali inaweza kuwa tofauti.
Naandika hayo nikiamini kwamba, kama Rais angekuwa na nia ya kumuacha Diwani kwenye uteuzi wake ili asafishe serikali yake, basi asingemteua kabisa, lakini kitendo cha kumteua na kumuacha baada ya muda mfupi, kinaonesha something is not right somewhere...
Inawezekana kabisa Diwani aliona post mpya aliyopewa ni kama ameshushwa cheo, hivyo akaona hana sababu ya kuendelea na hiyo nafasi mpya, dawa ni kumuandikia mamlaka ya uteuzi na kumjulisha juu ya uamuzi wake, akakubaliwa ombi lake.
Samia hana nongwa, au kama ule uteuzi ulikuwa ni kumtega Diwani ili ajikaange kwa mafuta yake mwenyewe, ajiondoe kwenye serikali ya Samia kwa kuona amepewa cheo kidogo, basi hapo Samia atakuwa amezicheza karata zake vizuri sana.
Akachukue nafasi ya Nani muda wake ndio umeisha asubiri huruma ya mama Kama atampa ubalozi akapumzikeHuyu diwani arudi kwenye kazi yake ya uaskari sasa. Kule alikua si mahali sahihi. Ata watumishi wenzie hawakupenda maigizo na maagizo yake
Nilichogundua mtu watu wengi kwa katiba yetu hajui mamlaka ya Rais wa nchi wao wanadhani usalama ndio wenye mamlaka na nchi na kwamba nduo wenye nguvu kumzidi raisSi rahisi kihivyo, wengi wao huwa wanakuwa na compromat zao kwa mfumo wa dead hand.
Kuna mmoja aliwahi ondolewa na Magu, ile inatangazwa tu nyumbani kwake pakavamiwa,wavamizi waliiba kila document na computer zote huko Mbweni,baadae akarudishwa zinazomhusu tu
Uwezo wa kukataa hanaJamaa atakuwa kakataa. Hata mimi nisingekubali huo ujinga.
Wale utumishi uliotukuka, visiki vya mpingo wale.Mbona tungekuwa na kina mzee kitine,mwang'onda,othmani Rashid mbona hawakupotea achane mawazo mgando
Unaishi nchi gani mkuu..Raisi hajui anafanya nini.
..haya mambo yalikuwa hayatokei mara kwa mara wakati wa Maraisi waliotangulia.
huu uandishi wa mtoto wa mchepuko wangu kabisa!!Aisha aisha tangu lini umekuwa bibi wewe mmwera?shamba lenu tayari baba yenu mdogo kashaliuza tayari wewe upo bize na mjini tu aisha
Kwamba baba yangu alizaa na wewe aisha?huu uandishi wa mtoto wa mchepuko wangu kabisa!!
Kanuni na maadili ya utumishi wa kuteuliwa au kutenguliwa na rais kwy dhamana yako haziruhusu mhanga kupongelea uamuzi wa rais juu yake.Uwezo wa kukataa hana
Labda nchi ya vichaaUnaishi nchi gani mkuu