Ng'wanamangilingili
JF-Expert Member
- Aug 22, 2015
- 5,778
- 4,859
She was ill advisedKawaida wakurugenzi hawa wakishaondolewa katika nafasi zao, huwa wanapelekwa ubalozini huko Canada, Brazili ili kutoa nafasi kwa ajaye kufanya kazi kwa umakini. Imagine Diwani aanze kuripoti kwa huyu mpya, lazima kutakuwa na hali fulani hivi.
Halafu huwezi kujua ameichukuliaje issue ya kuondolewa halafu unamuweka jikoni kwako panapopikwa chakula
I said.
=====
Rais Samia ametengua uteuzi wa Kamishna Diwani Athumani Msuya kuwa katibu Mkuu Ikulu
Aidha, Rais Samia amemteua Bw. Mululi Majula Mahendeka kuwa Katibu Mkuu Ikulu.
View attachment 2469861
[emoji23][emoji23]Nawaza tu Hata ningekuwa mm Diwani ningeshusha kofia chini maana naujuwa ukweli ambao wengi hawajuwi pale ikulu nitapotea kama alivyopotea Kijazi na siri naijuwa why nisiwe kama akina Mangula? Taifa lina majitu yana akili jamani.
Wasukuma mna matatzo Sana nyie..kwaio akiwa mdigo sio safiMahendeka ni msukuma ,safi sana
Kwa hiyo hakuwa makiniAlichokifanya Raisi ni sahihi kiusalama, na kiutendaji, Diwani hakupaswa kuwa karibu na Jikoni kwasabubu zaidi ya 10 .
Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobe app
Imedhihirika baada ya kuteuliwa?Unataka kusemaje Sasa? Diwani katumbuliwa kwasabb imedhihirika pasipo shaka kuwa yeye ni sukuma gang
Viongozi wetu kwa kukurupuka mhajambo.Diwani Athman atenguliwa ikulu.
View attachment 2469855
=========
Rais Samia ametengua uteuzi wa Kamishna Diwani Athumani Msuya kuwa katibu Mkuu Ikulu
Aidha, Rais Samia amemteua Bw. Mululi Majula Mahendeka kuwa Katibu Mkuu Ikulu.
Shida zaidi ni kutoelewa huyo mtu ameitumikia nchi kwa siri, ‘for only God na waliompa kazi know how long’.Kiukweli alimkosea heshima Diwani Athuman! Hivi unajua majukumu ya katibu mkuu wa ikulu (Mnikulu)? Yani atoke kuwa DG akasimamie usafi kweli?
Hao ndio umewadharau?watu kama kina ‘mama totoo’, Nikki wa Pili na ghasia wengine kujikuta wameulamba.
Hakuna aliyekuruuka Mama yuko makini sana.Viongozi wetu kwa kukurupuka mhajambo.
Pumzika Kwa amani JPM.Huyu ana mengi juu ya kifo Cha mwamba.Breaking: Rais Samia Atengua Uteuzi wa Kamishna Diwani
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametengua uteuzi wa Kamishna Diwani Athumani Msuya, aliyemteua tarehe 03 Januari, 2023 kuwa Katibu Mkuu Ikulu
Amemteua Bw. Mululi Majula Mahendeka kujaza nafasi hiyo. Hapo awali Bw. Mahendeka alikuwa Afisa Mwandamizi wa Ofisi ya Rais, Ikulu.
Jamaa umechukia sanaShida zaidi ni kutoelewa huyo mtu ameitumikia nchi kwa siri, ‘for only God na waliompa know how long’.
Katika muda wa kazi hatujui kafanya yepi mema kwa ajili ya nchi hadi kufikia hiyo position.
Raisi ana mamlaka ya kuteua na kutengua ila unapotengua watu wengine wanastahili kwa heshima. DG wa usalama sio kama Bashiru au Kabudi ni teuzi za kichama unaweza wavunjia heshima hovyo hadharani.
Lakini senior civil services uliowakuta juu kwa nafasi za kupanda kwa merit kabla ya teuzi za raisi, elewa kwamba wengi wamefika hapo kwa performance. Diwani amefika juu jeshi la polisi kwa performance na ameonekana na raisi kwa performance.
Uwezi ukamteua na kumtengua kwa mtindo wa kama kumdhalilisha as if ni level za hakina Ali Happy, kama alidhani awezi kufanya kazi Diwani angetengua tu nafasi yake.
Lakini sio kumpa position nyingine na kuifuta baada ya siku mbili na kuzua mjadala mitandaoni inayomdhalilisha mtu ambae ameitumikia na ku-invest sehemu kubwa ya maisha kuilinda Tanzania. Hawa sio Chalamila uwadharaulishe kwenye jamii, walikuwa na kazi zao na pension zao nzuri tu bila ya teuzi.
Point ni kwamba you don’t have to do much to earn those position these days.Hao ndio umewadharau?
Kwa Katiba yetu kila kitu kinawezekana.Point ni kwamba you don’t have to do much to earn those position these days.
Hali kadhalika watu kama kina Diwani wamesota kupata hizo nafasi. So unapowatoa usiwachukulie poa kama hadithi za mitandaoni watoe kwa heshima pia kwa kutambua mchango wao kwa Tanzania na kuaminiwa hadi kupewa nafasi nzito hizo.
Hila mama totoo na Nikki wa Pili unaweza tumbua na usiku ukawaza habari za wajikuu bila ya kufikiria maamuzi uliyoyafanya masaa machache, they are easy to replace.
Sijachukia kabisa, ata wewe ungekuwa raisi unahaki ya kuweka watu unaodhani wanakuelewa unalenga nini katika nafasi sensitive za ushauri provided wana right qualifications.Jamaa umechukia sana
I agreeKwa Katiba yetu kila kitu kinawezekana.
Mwenye nchi na "He" tena wapi na wapi mkuu? Nadhani ulimaanisha she frustrates you before firing you to justify her decision.You haven't noticed trend ya utendaji wa mwenye nchi, he frustrates you kabla hajakumwaga ili ku justify
Kwa kanuni na kiapo cha hiyo idara, hakuna anayeweza kumgomea Rais. Akifanya hivyo ni sawa na askari aliyemgomea kiongozi wakekwenye uwanja wa mapambano.Amekataa teuzi...mambo ni moto... Alhaji Msuya hatak mchezo.
Hii tweet sijaelewa KABISA!Yalitabiriwa haya Kutokea 2023,
Bt mbona mapema sana!!!!