Diwani Athumani Msuya atenguliwa Ikulu

Diwani Athumani Msuya atenguliwa Ikulu

Kawaida wakurugenzi hawa wakishaondolewa katika nafasi zao, huwa wanapelekwa ubalozini huko Canada, Brazili ili kutoa nafasi kwa ajaye kufanya kazi kwa umakini. Imagine Diwani aanze kuripoti kwa huyu mpya, lazima kutakuwa na hali fulani hivi.

Halafu huwezi kujua ameichukuliaje issue ya kuondolewa halafu unamuweka jikoni kwako panapopikwa chakula

I said.

=====

Rais Samia ametengua uteuzi wa Kamishna Diwani Athumani Msuya kuwa katibu Mkuu Ikulu

Aidha, Rais Samia amemteua Bw. Mululi Majula Mahendeka kuwa Katibu Mkuu Ikulu.


View attachment 2469861
She was ill advised
 
Hii ndio maana ya sauti za kasuku wakati majina yanatajwa? Ilimaanisha list haiko safi inahitaji kupitiwa upya??
 
Kiukweli alimkosea heshima Diwani Athuman! Hivi unajua majukumu ya katibu mkuu wa ikulu (Mnikulu)? Yani atoke kuwa DG akasimamie usafi kweli?
Shida zaidi ni kutoelewa huyo mtu ameitumikia nchi kwa siri, ‘for only God na waliompa kazi know how long’.

Katika muda wa kazi hatujui kafanya yepi mema kwa ajili ya nchi hadi kufikia hiyo position.

Raisi ana mamlaka ya kuteua na kutengua ila unapotengua watu wengine wanastahili kwa kupewa heshima in doing so. DG wa usalama sio kama Bashiru au Kabudi ni teuzi za kichama unaweza wavunjia heshima hovyo hadharani.

Lakini senior civil services uliowakuta juu kwa nafasi za kupanda kwa merit kabla ya teuzi za raisi, elewa kwamba wengi wamefika hapo kwa performance. Diwani amefika juu jeshi la polisi kwa performance na ameonekana na raisi kwa performance.

Uwezi ukamteua na kumtengua kwa mtindo wa kama kumdhalilisha as if ni level za hakina Ali Happi. kama alidhani awezi kufanya kazi Diwani angetengua tu nafasi yake.

Lakini sio kumpa position nyingine na kuifuta baada ya siku mbili na kuzua mjadala mitandaoni inayomdhalilisha mtu ambae ameitumikia na ku-invest sehemu kubwa ya maisha kuilinda Tanzania. Hawa sio hakina Chalamila uwadharaulishe kwenye jamii, walikuwa na kazi zao na pension zao nzuri tu bila ya teuzi.
 

Breaking: Rais Samia Atengua Uteuzi wa Kamishna Diwani​





Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametengua uteuzi wa Kamishna Diwani Athumani Msuya, aliyemteua tarehe 03 Januari, 2023 kuwa Katibu Mkuu Ikulu

Amemteua Bw. Mululi Majula Mahendeka kujaza nafasi hiyo. Hapo awali Bw. Mahendeka alikuwa Afisa Mwandamizi wa Ofisi ya Rais, Ikulu.
Pumzika Kwa amani JPM.Huyu ana mengi juu ya kifo Cha mwamba.
 
Shida zaidi ni kutoelewa huyo mtu ameitumikia nchi kwa siri, ‘for only God na waliompa know how long’.

Katika muda wa kazi hatujui kafanya yepi mema kwa ajili ya nchi hadi kufikia hiyo position.

Raisi ana mamlaka ya kuteua na kutengua ila unapotengua watu wengine wanastahili kwa heshima. DG wa usalama sio kama Bashiru au Kabudi ni teuzi za kichama unaweza wavunjia heshima hovyo hadharani.

Lakini senior civil services uliowakuta juu kwa nafasi za kupanda kwa merit kabla ya teuzi za raisi, elewa kwamba wengi wamefika hapo kwa performance. Diwani amefika juu jeshi la polisi kwa performance na ameonekana na raisi kwa performance.

Uwezi ukamteua na kumtengua kwa mtindo wa kama kumdhalilisha as if ni level za hakina Ali Happy, kama alidhani awezi kufanya kazi Diwani angetengua tu nafasi yake.

Lakini sio kumpa position nyingine na kuifuta baada ya siku mbili na kuzua mjadala mitandaoni inayomdhalilisha mtu ambae ameitumikia na ku-invest sehemu kubwa ya maisha kuilinda Tanzania. Hawa sio Chalamila uwadharaulishe kwenye jamii, walikuwa na kazi zao na pension zao nzuri tu bila ya teuzi.
Jamaa umechukia sana
 
Hao ndio umewadharau?
Point ni kwamba you don’t have to do much to earn those position these days.

Hali kadhalika watu kama kina Diwani wamesota kupata hizo nafasi. So unapowatoa usiwachukulie poa kama hadithi za mitandaoni watoe kwa heshima pia kwa kutambua mchango wao kwa Tanzania na kuaminiwa hadi kupewa nafasi nzito hizo.

Hila mama totoo na Nikki wa Pili unaweza tumbua na usiku ukawaza habari za wajukuu bila ya kufikiria maamuzi uliyoyafanya masaa machache, they are easy to replace.
 
Point ni kwamba you don’t have to do much to earn those position these days.

Hali kadhalika watu kama kina Diwani wamesota kupata hizo nafasi. So unapowatoa usiwachukulie poa kama hadithi za mitandaoni watoe kwa heshima pia kwa kutambua mchango wao kwa Tanzania na kuaminiwa hadi kupewa nafasi nzito hizo.

Hila mama totoo na Nikki wa Pili unaweza tumbua na usiku ukawaza habari za wajikuu bila ya kufikiria maamuzi uliyoyafanya masaa machache, they are easy to replace.
Kwa Katiba yetu kila kitu kinawezekana.
 
Jamaa umechukia sana
Sijachukia kabisa, ata wewe ungekuwa raisi unahaki ya kuweka watu unaodhani wanakuelewa unalenga nini katika nafasi sensitive za ushauri provided wana right qualifications.

Halikadhalika unapowatoa watu wenye nafasi nyeti ni muhimu kuzingatia heshima zao so tumia mbinu sahihi.

Kitendo cha kumtoa mtu kwenye nafasi yake, kumpeleka Ikulu; halafu kumtengua ni sawa na kusema nilisahau Ikulu utakuwa karibu na mimi wakati sitaki kufanya kazi na wewe kabisa.

Now that was disrespectful lakini raisi kuchagua anataka kufanya kazi na nani, jumlisha katiba inamruhusu ni haki yake kabisa.
 
You haven't noticed trend ya utendaji wa mwenye nchi, he frustrates you kabla hajakumwaga ili ku justify
Mwenye nchi na "He" tena wapi na wapi mkuu? Nadhani ulimaanisha she frustrates you before firing you to justify her decision.
 
Amekataa teuzi...mambo ni moto... Alhaji Msuya hatak mchezo.
Kwa kanuni na kiapo cha hiyo idara, hakuna anayeweza kumgomea Rais. Akifanya hivyo ni sawa na askari aliyemgomea kiongozi wakekwenye uwanja wa mapambano.
 
Back
Top Bottom