Diwani Athumani Msuya atenguliwa Ikulu

Itakuwa jamaa kachomoa. Huu ndio uanaume. Huwezi kuwa DGIS kisha ukakubali kwenda kuwa Katibu Ikulu. Kudharirishana na upuuzi tu.
Hawezi kukataa acheni uzushi na uongo jpm alishawahi kumtoa kipilimba tiss akiwa high level akamshushaa na jamaa akaenda kufanyakazi
 
Umeandika manenoooo kibao lakini pumba tupu kwani jpm hajawahi kuteua na kutengua
 
Wanafurahisha genge tu huyo diwani hata angepelekwa mtendaji kata angeenda
 
Apson Mwang'onda alikuwa balozi wapi ? au wastaafu wanakaa hawana athari?
 
Ni chanzo gani ninakitafuta mie kinachoeleza kuwa: "Diwani ameukataa uteuzi"lakini nakikosa!

Kila thread inayozungumzia hili, ukiifuatilia unaona ni dhana tu!

Kwanini tuandike habari za mambo yaliyotokea kwa kufikiri tu na si kwa kuthibitisha?
 
Hakuna mtu anayehudumu TISS na ambaye ni Member wa TISS akateuliwa kazi yoyote na Rais akagoma.

Rais atakuwa amestuka kuwa kumuweka Ikulu karibu yake mtu aliyekuwa anaendesha mission za kuonea wapinzani kutaathiri mipango yake ya zile R nne

R nne zipi mkuu? ufafanuzi kidogo?
 
Naona masalia ya Dikteta Magufuli yananyonyolewa na kupukutishwa kwa kwenda mbele.

Pole Diwani kwa kutimuliwa kwa aibu.
Hongera Mama kwa kuupiga mwingi.
 
Apson Mwang'onda alikuwa balozi wapi ? au wastaafu wanakaa hawana athari?
Apson, Kombe, na Rashid wamestaafu at full term!, Kipilimba, na Diwani ni wameondolewa kabla ya full terms. Full terms za constitution officers ni 65 years.
Hawa ni Rais wa JMT, Spika, Jaji Mkuu na Majaji Rufani, CAG, CDF, Gavana wa BOT, Wenyeviti wa NEC, Maadili, Msajili vyama, CS na Staff Officers, Wakuu wa vyombo vya Ulinzi.

Kama wakati wanateuliwa kushika wadhifa huo, watakuwa na umri wa chini ya miaka 50, then full term yao ni two terms za 5 years then wanastaafu kwa mujibu wa katiba.
P.
 
Kumbuka vijana wa jkt walivyogoma waliitwa nani sasa wale kuruta tu wamegoma order
Uhaini ni kosa na sheria inayolizaa imelipa maana yake na ni kitendo gani kinaweza kuhesabiwa kuwa uhaini, acheni maneno ya mtaani.

Nyie ndio wale wale mnamkamata mtu Aishi Hotel anapanga mikakati ya kushinda uchaguzi halafu mnaenda kumshtaki kwa ugaidi.
 
Mamlaka ndio imeamua iwe hivyo na jicho la mamlaka ni kubwa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…