Diwani Athumani Msuya atenguliwa Ikulu

Achaneni na uongo uongo na kupamba maneno ya uchonganishi nyie.
Eti amekataa uteuzi, mbona alipoondolewa kutoka DCI kwenda kuwa RAS hakukataa?
 
Kweli !
 
Hivi mkuu Stuxnet baada ya kumjibu jiwe kuwa amekuinua siku ile pale butimba, alikupeleka wapi? maana sijakuona tena.
 
Potelea mbali genge la wauaji siyo la kusifia huyo muaji abaki huko huko sukuma empire.
 
Umewahi kupata mafunzo yoyote ya vyombo vya ulinzi na usalama? Tunaojua (nimeshiriki mafunzo yaliyokuwa yakiendeshwa na NATO). WATU WOTE WA VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA HAWAWEZI KABISA, NA HAIWEZEKANI, UKATAE AMRI YA MKUU WAKO. NA KAMANDA MKUU KULIKO WOTE WA VYOMBO VYA ULIMZI NA USALAMA NI AMIRI JESHI MKUU. UKIAMBUWA CHOCHOTE NI AMRI.

Wanaoleta habari za sijui kukataa, wapuuze tu, hawajui chochote.
 
An exit strategy
 
Huyo wa mtemi unamkusudia yule alietupa story ya mke wake yesu sio.
 
Possibly mmomonyoko wa maadili; tunazidi kupoteza maadili with time
 

Watu wanapiga maneno maneno tu hapa, wanadhani the Presidency ni kitu cha mchezo.

Alisema Salmin Amour, "Chezea ndevu, Usichezee Dola", mtu kama Diwani atakuwa wa kwanza kujua kuwa Dola haichezewi na mtu yoyote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…